Tetesi: Mabadiliko/Uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa Yaja

Kuna blackmail kwa wengine ni vigumu kuhamishwa
 
Serikali haiendeshwi kwa ndoto za mchana kama yako.
 
Hapo GSM nasikia huwa anabeba vitu tu wala halipi.
 
Kuendelea kumkumbatia badhite ni kuidhalilisha ofisi ya rais. Mtu ana tuhuma kwanini asiwekwe kando kupisha uchunguzi?
 
Nimeguswa sana na maono yako. Nasubiri pale Mh Rais atakapofanya mabadiliko nione kama kutakuwa na 100 % mapping! Tunamuomba Mwenyezi Mungu atupe uhai tuone!!
Forget it....
 
Wewe ndio umewaharibia wenzako hata kama kweli ilitakiwa kuwa hivyo
 
Huyo jamaa hahami katika mji wenu..... abaki huko huko...... huku tupo na yetu hatumuhitaji hata kidogo.
 
Huyu rais hapendi kuwa pre emptied akisoma uzi wako hata kama alikuwa na hiyo nia anaacha...hataki mitandao imuendeshe[emoji23][emoji23]
Isije kuwa kuna watu wamejipanga kum preempty ili wasiguswe. Si wameshamsoma
 
ok,ukipelekwa simiyu ujue unakaribia kutumbuliwa,Magesa mulongo alienda kutumbuliwa kwao Musoma.
 
Mleta uzi,mbona yaonekana kama Mkuu wa mkoa wa Dar anakunyima usingizi?Unamuota mchana na usiku,akihamishiwa mikoa mingine bado ni mkuu wa mkoa.
Angalia usije pasua ubongo wako ukageuka chizi kisa Makondai.
Mamlaka iliyomweka ndio inaweza kumhamisha au kumpangia kazi nyingine hata kumtumbua.
 
Jiji kama Dar linahitaji mtu mwenye busara na hekima.
Gambo nae hana tofauti sana na huyo Bashite.
Kwa mtazamo wangu Meck, ambaye sasa yuko Kilimanjaro, Bendera, au Dc aliyeko Babati wana hekima na busara za kuliongoza jiji
Bashite alitakiwa awe magereza na sio wa kupangiwa kituo kingine cha kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…