Asante kwa ramli.Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...
Umeharibu kila kitu mkulu hapendi mambo yake kuwekwa hadharani!
Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...
shukran kwa ttesWana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...
Lakini pale kwenye uzinduzi wa mabweni ya wanafunzi alisema yeye ateui vilaza,sijui ulimwelewa?Makonda ni mchapa kazi big up dogo mengi umeyaweka sawa hapa jijini. Umepunguza speed ya uhalifu, miradi mikubwa ya maendeleo inaonekana. Fanya kazi vyeti baadaye. Hata bungeni tuna maprofesa wasio na vyeti. Elimu yako ya kuzaliwa na kupanuka ukiwa mtu mzima inakusaidia kuongoza. Raisi wa Kongo siyo msomi wa hivyo. Raisi wa Koea kaskazini si mtaalam wa mabom lakini anayo ya kuogofya dunia. Trump ni mfanyabiashara anaongoza wasomi na wataalam lukuki. Big up dogo. Inafaa hata uwe waziri wa mambo ya ndani nchi ikae sawa si Dar pekee.
Kavumilia mwisho unafiki umefikia kikomoGoodbye comrade Makalla
Rais wetu hapagiwi. Kwa vile unampangia, hata kama alikuwa na wazo hilo ataahirisha.Wana Jamvi, mabadiliko na uahamisho wa baadhi wa wakuu wa mikoa yamo mbioni. Hii inatokana na kile Paskali anachokiita TREND READING. Kuna shinikizo kubwa la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutoka Jiji hilo.Kuna ripoti inasubiriwa ya Kamati ya maadili ya Bunge na kesi ilofunguliwa dhidi yake. Kuna uwezekano AKAHAMISHIWA Simiyu. Dar es Salaam atakuja Mkuu wa sasa wa Arusha, wa Tanga akaenda Arusha, wa Simiyu akaenda Tanga. Katika zoezi hili Mkuu wa Mkoa wa Njombe ATAONDOKA, wa Singida ATARUDI Njombe. Mkuu wa wilaya Iringa atapanda na kuwa RC Singida...