Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Hizi pia ni ramli chonganishi, nani kakudanganya PM anaondolewa?, PM Kasim Majaliwa Majaliwa is there to stay hadi amalize his full term. Waziri Mkuu ajae ni kutoka kanda ya Ziwa!.Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri Mkuu kwa sasa, labda waandaliwe. NI upi mtizamo wako juu ya kumwondoa PM?
Huu ndio unafiki, na bila kukwepesha maneno, na kwa kupitia vitabu vyote vya dini wewe lazima UENDE MOTONI. Achana unafiki.PM majaliwa abaki tu!
Hakuna haja ya kumuondoa Ili kukata kiu ya Baba wa Mtoto wa fulani,"wazuri hawafi"
Hii ni jamuhuri ya Tanzania siyo ya huba Hadi turidhishane kihisia eti FULANI Mtoto wake lazima apate coz alimsaidia FULANI kipindi kileeee akashika hatamu Sasa tulipe fadhila!
Huo uwaziri alionao FULANI una mtosha sio lazima awe PM!!
Hii jamuhuri Sio ukoo,ingekuwa ni ukoo KILA Mtoto wa NYERERE angekuwa na haki ya kuwa kiongozi!!
Hata yule wa mambo ya ndani unamtosha pia!
Mungu wabariki wafanya MAAMUZI wa NCHI YETU!!
Ni vzr tukapewa facts nn tatizo au makosa ya majaliwa?Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.
Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo.
Bado sioni Waziri Mkuu kwa sasa, labda waandaliwe. NI upi mtizamo wako juu ya kumwondoa PM?
Mtabiri wenu Lema hakuna anachopatia
ni kweli kuwatunza hawa wazee ni mzigo, imagine wakija fika 10 Taifa litakuwa na mzigo mkubwa - cha msingi wakati tunabadilisha katiba tukigeukia na hiki kipengelea cha hawa wazee wastaafu, 80% ya mshahara kwa aliyeko madarakani wanachopata, ulinzi, nyumba, matibabu ni mzigo mzito.Hakuna jipya ktk kuvunja Baraza la Mawaziri!
Mama ashauriwe atulie aende na hili Baraza na Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa hadi 2025!
Akichaguliwa kuwa Rais 2025 atateuwa Waziri Mkuu Mpya otherwise itakuwa wastage of resources kutunza Mawaziri Wakuu wengi wasio na tija kwa Taifa na pia itakuwa ni total distraction kabla ya 2025!
Majaaliwa anajua kazi zake vyema kabisa, ni mtu anayejitambua sema chawa na kikosi cha wale mafisi hawamtaki kwa ajili ya mambo yao 2025!Bado sioni Waziri Mkuu kwa sasa, labda waandaliwe. NI upi mtizamo wako juu ya kumwondoa PM?
Ww target yako kubwa ni PM ingawa unajaribu kujificha kimaelezo basi tueleze vzr nn shida ya huyu PM ili tuchangie hii mada.Ukweli uwekwe wazi na mizengwe.Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi.