Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Mtoto wa mama mkwe au wazaz wako washakulsha dawa ya kuacha pombe
 
Habari za muda huu Wana JF!

Kuna hali ya mabadiliko imenitokea kwa kipindi cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe.

Nikiiona pombe, naikinai na najisikia kutapika. Sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa, lakini hivi karibuni imetokea ghafla tu. Watu walikuwa wananisema mno kwa kulewa pombe, ila sasa hivi hata wezangu wananiona sifai kisa wakiniita Club naagiza Soda au Energy drink.

Je, hiyo ni hali ya kawaida au kuna ujanja nmefanyiwa?
Oooh haleluyah.....kwahiyo sahivi uko wapi?
 
Huenda Mungu anakuandaa kwa jambo flani hiv.Ila siyo kukuchukua🤣
 
Back
Top Bottom