sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 3,334
- 7,651
Inapatikana wapi hiyo dawa mkuu, maana wahanga ni wengiUtakuwa umewekewa dawa pasipo kujua. Bro wangu alikuwa mlevi mbwa anakunywa hadi anaenedhs gari inaanguka wka mtaro anasinzia. Mkewe kamshauri akakubali, akataftiwa dawa ya kukinai pombe akiiona anahisi kutapika. Akatumia hali hiyo ikadumu kwa miaka mitatu akarudia ulevi.
amamsumbua wee, miezi miwili iliyopita kaamua mwenyewe aitumie tena na sasa hivi hajagusa pombe. Ila watu wengi huwa wanawekewa pasipo wao kujua kuwa wamewekewa.