Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

Safi kabisa,susa hivyohivyo.endelea tu kupigania chama chako hapa jukwaani
 
Pongezi kwa serikali yetu sikivu, mimi ni miongoni mwa tuliotoa maoni kuhusu sheria hii na nilipendekeza jina liwe Tume Huru na Shirikishi ya Uchaguzi.
View: https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2GjrJapo mapendekezo yangu mengine yote yamekataliwa, ukiomba mambo 10, mambo 9 yakakataliwa, jambo moja likakubaliwa, hatua ya kwanza ni kushukuru kwa hilo moja lililokubaliwa, halafu uendelee kupigania yale 9 yaliyobakia.

Naendelea kusisitiza Watanzania tuwe ni watu wa shukrani, tushukuru kwa madogo ili tujaaliwe makubwa!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…