Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Username change iwe automatically sio hadi kuomba ruhusa ya mods

Tena iwe hadi kwa app sio hadi tutumie web
Duuh hii mbona kitambo sana mkuu?.
Unabadili mwenyewe hasa kwa kutumia browser
 
Turudishie lile jukwaa letu pendwa........u know wa a meaan men
 
natamani ningekuwa na uwezo wa kuignore au kuficha uzi usionekane, kuna nyuzi zinatembea kweli lakini maudhui hayafurahishi kabisa huwa nachukizwa kukutana na updates zake
Nafikiri pia tunapaswa kukua kiakili na maarifa na uekewa sahihi wa mambo.
Jf ina kila aina ya vyakula vya watu husika.

Kuna jukwaa la ;
Siasa
Chitchat
Mahusiano nk.
Katika haya majukwaa kila mtu ana haki kuchagua eidha awepo majukwaa yote au lile linalogusa moyo na maisha yake zaidi.

Mfano jukwaa la chitchat huko ni hoja mchanganyiko na ambazo mara nyingi ni watu wanatolea stress zao kwa vitu hasa vya itani utani ambao mara nyingi hakuna uhalisia.

Kinachoshangaza mtu mzima ataingia humo na kuanza kuona kuwa watu wanafanya ujinga khaa..utashangaaje hilo?

Hilo ndilo jukwaa muhimu kwa wengi kutolea stress zao za kazi na kuiweka akili sawa.
 
[mention]Maxence melo [/mention] mkuu app haitoi notifications za wakati husika hadi masaa kadhaa yapite
Yaan kuanzia masaa8
Umeambiwa tatizo lipo kwa watumia tecno mkuu[emoji1787][emoji1787]
 
Mhhhhh... Nadhani tufikirie nje ya box. Tunaweza tengeneza solution ya kusaidia graduates kupata kazi na kuwaunganisha na wenye uhitaji wa watu wa fields husika.

Unalionaje pendekezo hili?

Jukwaa na Hadithi, Mikasa na Simulizi liwepo kule kwenye, Sport and Entertainment
 
Siti ya nyuma hapa

 
Mnapofuta nyuzi muwe mnatoa na sababu juzi tu hapa nililalamikia wadada wanao inama kama ngamia wakiwa sita kwa sita badala ya kubinuka binu!..
Uzi ukafutwa sababu sikupewa!

Ahsante nanyinyi kwa ushirikiano wenu jf for life.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…