Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Hii imekuwa resolved katika changes za sasa. Angalia kuthibitisha.

Karibu
Nilidownload juzi tu hapa ulivyoleta hii thread mkuu, nikaona michosho nikaunstall nikazama App store kudownload mzigo ninaotumia. Rekebisheni muoenekano kwenye hii app itakuwa poa sana. Otherwise, you all doing good job.
 
Nilidownload juzi tu hapa ulivyoleta hii thread mkuu, nikaona michosho nikaunstall nikazama App store kudownload mzigo ninaotumia. Rekebisheni muoenekano kwenye hii app itakuwa poa sana. Otherwise, you all doing good job.
You tested kabla ya final release. Wakati thread inaanzishwa ilitaka kukusanya maoni ili kufika stage ya sasa (final release).

Karibu
 
Changes on the new version:

1) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.

2) Faragha ya mwanachama imelindwa zaidi, hakuna wa kujua wewe ni nani on JF bila wewe kumpa access ya kifaa chako (simu, tablet au pc). Tulipata vilio vya watu kuchunguliwa IDs tukaja na suluhu.

3) Unaweza kuchagua kutumia JF ikiwa light version, dark mode au dark blue mode (my favorite).

4) Maandishi ya sasa yanasomeka kirahisi zaidi na wenzetu wenye uoni hafifu. Wasioona kabisa lakini wana vifaa vya kusomea wataweza kuitumia JF kwa urahisi zaidi.

5) Soon kuna mambo mapya yanaanza kufanyika via JF, mabadiliko haya yamelenga kupokea yajayo kuanzia mwezi huu na kuendelea.

6) Ukiwa kwenye forum yoyote, huhitaji kubonyeza Page 2, Page 3, Page 4. Wewe vuta kwenda chini tu, mada zitakuja (scroll down).

Nitaendelea…
 

Habar ya muda huu brother..browser ina mabadiriko ila bado kuna mapungufu mfano ni hii screenshot hapa kwenda next page lazima nitumie click,pili ni huu muonekano wa chini kabisa kwene browser
Huu muonekano wa chini kabisa hauwez kuondolewa mkuu nao unajaza sana screen asante ni hili napongeza kazi nzuri mkuu.
 

App iko vizuri sana napendekeza ingeboreshwa zaidi [emoji120]
 
Mm hii ya kuclick next page ndio siipendi kabisa, nikaona acha nirudi kwenye App tu.
 
Endelea aisee,what's new ndo mmeifanyaje
 
Boss akijibu mniambie, mie nangojea bima ya jf, pengine hiyo ndo itanikutanisha uso kwa uso na Maxence Melo the man I love (like).
 
Hongera mkuu Maxence Melo nimependa hio ya privacy, watu walikua wanadukua sana..mtu anajua mpaka sites unazotembelea...very unfair...ila fonts ni ndogo,mkuu halafu rangi yake haijakolea kidogo, tunazoom na macho yetu weeee...😀
 
Nimeona home ni trending threads na inanipa ugumu wa kwenda kwenye forum niipendayo.

Kwa wale ambao tunajitafutiaga taarifa kulingana na mood zetu unatusaidiaje.

Sijui kama sijaimaster ila nikijaribu kwenda labda jokes/chitchat au jukwaa la hoja mchanganyiko nashindwa kwenda mojakwa moja. Kwa sasa natumia historia ya browser kufika


Natumia browser sio app nifuate hatua zipi kwenda jukwaa pendwa?
 
) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.
Kwa maana ya kipindi cha mikingamo cha iliyokuwa RTD kimefufukia huku ...bigup kwenu
 
Mwonekano wa sasa umekaa vizuri kwa maana unaona threads zote unapowasili ukurasani, ni kama umefika sebuleni unapumzika kisha unaaanza kutafuta vyumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…