Quimica
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,036
- 1,286
[emoji16][emoji16][emoji16]Bila shaka jukwaa la 'wapiga punyeto' mtaliweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16]Bila shaka jukwaa la 'wapiga punyeto' mtaliweka.
Nilidownload juzi tu hapa ulivyoleta hii thread mkuu, nikaona michosho nikaunstall nikazama App store kudownload mzigo ninaotumia. Rekebisheni muoenekano kwenye hii app itakuwa poa sana. Otherwise, you all doing good job.Hii imekuwa resolved katika changes za sasa. Angalia kuthibitisha.
Karibu
You tested kabla ya final release. Wakati thread inaanzishwa ilitaka kukusanya maoni ili kufika stage ya sasa (final release).Nilidownload juzi tu hapa ulivyoleta hii thread mkuu, nikaona michosho nikaunstall nikazama App store kudownload mzigo ninaotumia. Rekebisheni muoenekano kwenye hii app itakuwa poa sana. Otherwise, you all doing good job.
Shukrani sana.You tested kabla ya final release. Wakati threas inaanzishwa ilitaka kukusanya maoni ili kufika stage ya sasa (final release).
Karibu
Asante kwa mrejesho mkuu!Browser imekuwa bomba sana👏👏👏
Changes on the new version:
1) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.
2) Faragha ya mwanachama imelindwa zaidi, hakuna wa kujua wewe ni nani on JF bila wewe kumpa access ya kifaa chako (simu, tablet au pc). Tulipata vilio vya watu kuchunguliwa IDs tukaja na suluhu.
3) Unaweza kuchagua kutumia JF ikiwa light version, dark mode au dark blue mode (my favorite).
4) Maandishi ya sasa yanasomeka kirahisi zaidi na wenzetu wenye uoni hafifu. Wasioona kabisa lakini wana vifaa vya kusomea wataweza kuitumia JF kwa urahisi zaidi.
5) Soon kuna mambo mapya yanaanza kufanyika via JF, mabadiliko haya yamelenga kupokea yajayo kuanzia mwezi huu na kuendelea.
6) Ukiwa kwenye forum yoyote, huhitaji kubonyeza Page 2, Page 3, Page 4. Wewe vuta kwenda chini tu, mada zitakuja (scroll down).
Nitaendelea…
Habar ya muda huu brother..browser ina mabadiriko ila bado kuna mapungufu mfano ni hii screenshot hapa kwenda next page lazima nitumie click,pili ni huu muonekano wa chini kabisa kwene browser View attachment 2247717
Huu muonekano wa chini kabisa hauwez kuondolewa mkuu nao unajaza sana screen asante ni hili napongeza kazi nzuri mkuu.
Mm hii ya kuclick next page ndio siipendi kabisa, nikaona acha nirudi kwenye App tu.Habar ya muda huu brother..browser ina mabadiriko ila bado kuna mapungufu mfano ni hii screenshot hapa kwenda next page lazima nitumie click,pili ni huu muonekano wa chini kabisa kwene browser View attachment 2247717
Huu muonekano wa chini kabisa hauwez kuondolewa mkuu nao unajaza sana screen asante ni hili napongeza kazi nzuri mkuu.
Endelea aisee,what's new ndo mmeifanyajeChanges on the new version:
1) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.
2) Faragha ya mwanachama imelindwa zaidi, hakuna wa kujua wewe ni nani on JF bila wewe kumpa access ya kifaa chako (simu, tablet au pc). Tulipata vilio vya watu kuchunguliwa IDs tukaja na suluhu.
3) Unaweza kuchagua kutumia JF ikiwa light version, dark mode au dark blue mode (my favorite).
4) Maandishi ya sasa yanasomeka kirahisi zaidi na wenzetu wenye uoni hafifu. Wasioona kabisa lakini wana vifaa vya kusomea wataweza kuitumia JF kwa urahisi zaidi.
5) Soon kuna mambo mapya yanaanza kufanyika via JF, mabadiliko haya yamelenga kupokea yajayo kuanzia mwezi huu na kuendelea.
6) Ukiwa kwenye forum yoyote, huhitaji kubonyeza Page 2, Page 3, Page 4. Wewe vuta kwenda chini tu, mada zitakuja (scroll down).
Nitaendelea…
Kwa maana ya kipindi cha mikingamo cha iliyokuwa RTD kimefufukia huku ...bigup kwenu) Kuna urahisi wa kufichua mambo mazito bila data zako zozote kuchukuliwa na bila post kwenda public kwanza (utaona button ya Fichua Uovu). Hii itasaidia hata wasio wanachama (baadae) kushiriki kikamilifu kupinga ufisadi na rushwa kwa ujumla.
Mwonekano wa sasa umekaa vizuri kwa maana unaona threads zote unapowasili ukurasani, ni kama umefika sebuleni unapumzika kisha unaaanza kutafuta vyumbaWakuu,
Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza au kupunguza n.k - usisite kutujulisha kupitia uzi huu.
Thread hii itatumika kukusanya maoni yenu na yatazingatiwa ajili ya kujenga sehemu bora na salama zaidi kwa ajili ya kila mmoja wetu.
Kwa wale watumiaji wa App, tunashauri kujaribu App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi kwani itaendana vema zaidi na kinachokuja.
Tunawashukuru kwa ushirikiano mnaotupa kila mara kwani hadi toleo hili ni tokana na maoni yenu.
Kutakuwa na features kadhaa hazitakuwa released mapema hadi zikamilike kufanyiwa testing ndipo ziwe applied.
Tunawapenda, tunawajali na tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora.
Asanteni sana!
===== UPDATES======