Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Hivi hili lipo kumbe humu !
 
Najionea mapicha picha tu. Mpya na ya zamani zote mtihani.
 
Imekuw vizr hasa upande wa maandishi na kwenye pages zilikuw zinakera
 
Aliyependekeza huu muonekano, amepuyanga! Baada ya mwaka mmoja tu, kila mtu atakuwa anatumia miwani ya macho. Rangi hazieleweki.

Tuwekeeni option ya kuchagua muonekano wa zamani. Kulazimishana wote kutumia muonekano mpya, ni udikteta.
 
Huu muonekano kipengele, nadhani unawafaa watumiaji wa smartphones kwa sie wa pc haujakaa poa kabisa.
umekaa kama User interface ya POS systems au ATM, binafsi sijaupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…