Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Nionavyo, muonekano uliopita ulivutia usomaji. Muonekano wa sasa umeongeza umuhimu wa panel ya kushoto na kupunguza ukubwa wa ukurasa kwa msomaji. Ikiwezekana, hiyo panel ya kushoto ikae juu ili msomaji aweze kutumia screen yote kusoma habari
 
Kama kupatana tu hawana tofauti hapo juu kulikuwa na sehemu ya kungalia news feed
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Mtu gani ali design buttons za fora kubwaaaa kiasi cha kumaliza nafasi ya kusoma message. Yaani imekuwa kwamba hizo fora ni matangazo ya biashara au nini hii? Robo ya screen inachukuliwa na panel ya fora!!!!!!!!!!!!!!!
 
JF kwa sasa mwonekano wake umekua kama blog fln hv. Haina tena mwonekano wa forum. Pitieni reddit au quora labda mnaweza pata idea.

Yaan ile radha ya forum imetoka kabisa hasahasa baada ya kuondoa forum listing kwenye landing page upande wa mobile.

Font size nayo duuh.
 
Yaani huu muonekano haukuruhusu kuona the whole page on a specific forum ili uweze kuchagua thread .. yaani mpaka u-scroll boring and time wasting
 
H
Sasa hapo umeedit nini?? Mi nataka uedit original post, hizo za kuquote ni kitu cha kawaida as long as original post imesimama vilevile.
icho cha ku edit quote ndicho kinachoombwa kirekebishwe. Kumbe wewe hukuelewa kinachozungumziwa hapo.
Jinsi nilivyo ku quote hapo, mtu akija kusoma reply yangu si atajua wewe ndio uliandika hivyo, unafikiri atajishughulisha kujua original post uliandika nini
 
Back
Top Bottom