Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Wameunganisha na uzi mwingine ambao ulikua unalalamikia mwonekano mpya, ila sasa huo waliounganisha hauna kupiga kura. Ndo shida ilipoanzia.Mods najua mmeshika mpini na sisi tumeshika makali lakini hamjatutendea haki kwa kuondoa Uzi wa kupigia kura muonekano mpya wa jamii forum niliouanzisha jana saa 7:20pm
niwe muwazi sijawahi soma vigezo & masharti vya JF lakini sizani kama kuna sheria nimeivunja kwa kuuweka huo uzi hapo jukwaani
kwa hisia zangu nahisi Uzi umeondolewa kwa sababu ya kuonekana kura nyingi zilikuwa zikionesha kutokufurahishwa na mwonekano mpya wa Jamii Forum
please Maxence Melo naomba angalia namna ya kuurudisha huo uzi au anzisheni nyie uzi mwingine wa kupigia kura mabadiliko ya mwonekano wa JF