Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu.Mods najua mmeshika mpini na sisi tumeshika makali lakini hamjatutendea haki kwa kuondoa Uzi wa kupigia kura muonekano mpya wa jamii forum niliouanzisha jana saa 7:20pm
niwe muwazi sijawahi soma vigezo & masharti vya JF lakini sizani kama kuna sheria nimeivunja kwa kuuweka huo uzi hapo jukwaani
kwa hisia zangu nahisi Uzi umeondolewa kwa sababu ya kuonekana kura nyingi zilikuwa zikionesha kutokufurahishwa na mwonekano mpya wa Jamii Forum
please Maxence Melo naomba angalia namna ya kuurudisha huo uzi au anzisheni nyie uzi mwingine wa kupigia kura mabadiliko ya mwonekano wa JF
Nakupa offer ya macho matatu usikonde.Hapa na mie nakazia, watoe hii hali sio nzuri. Wafute kabisaa.
Cc MeloMfumo mbovu sana huu. Wala hakuna haja kuelezea. Irudishe ile ya zamani ilkua nzuri sana.
Kwa hili Melo radha imepoteaYaani huu muonekano haukuruhusu kuona the whole page on a specific forum ili uweze kuchagua thread .. yaani mpaka u-scroll boring and time wasting
Haya Tomaso umeona?Embu jaribu kuedit comment yangu hii ili kuthibitisha hilo usemalo. Nakuthibitishia
Usiangalie interest yako tu! kuna ambao wanamatatizo ya macho! hii fonts ni standard kabisa!Mabadiliko ni mazuri hasa kuficha ID. Shida ipo kwenye font size. Maandishi ni makubwa sana,punguza size
Watu wanalalamika kubadilisha bila kutoa hints za kubadilisha.Maandishi yamekuwa makubwa sana as if wote ni wagonjwa wa macho pia title ni kubwa sana
Kwangu mvuto umepotea kutokana sipati ninacho kihitaji kwa wakati ila kilichopo
Muonekano huu mpya unafanya nijione nimerudishwa nyuma technically na nahitaji kusonga mbele
Rekebisheni
Kile Kitufe cha Search Wakiweke Tule Maisha ChapAmbacho bado hawaja fix ni upande wa search haileti chochote.
Ila muonekano classic sana
mtu mwenye shida hiyo anaweza kuongeza font. hapa hatulalamiki tunashauri. kinyume na hapo huu uzi usingekuwepo basi.Usiangalie interest yako tu! kuna ambao wanamatatizo ya macho! hii fonts ni standard kabisa!
Mtu anaye lalamika juu ya ukubwa wa font hakika ni mbinafsi, anasahau kuna wabovu wa macho!
kumpa offer mtoto wa kiume?Nakupa offer ya macho matatu usikonde.
Ban iwe na charges...ili mtu arudishwe alipie kiasi flani lets say 10,000 au 20,000 hapo atajifunza. Na kabla hajalipia kuwe na notification kwake yenye kosa lake ni nini na chini ya hiyo notification yenye kosa kuwepo na summary ya makosa yote ambayo mtu akiyafanya anakuwa banned. Hiyo itakuwa somo zuri sana kwa offenders...kwanza kumlipisha itamuuma na pia itachangia maendeleo ya JF na pili ile notification ya makosa ataiweka kichwani kama sala ya bikira maria.Appeal system itaboreshwa.
Nakuelewa mkuu