Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Tunaomba picha mwonekano mpya wa jf mkuu ,...!

Ni swala la muda ila mtazoea tu
 
Ban iwe na charges...ili mtu arudishwe alipie kiasi flani lets say 10,000 au 20,000 hapo atajifunza. Na kabla hajalipia kuwe na notification kwake yenye kosa lake ni nini na chini ya hiyo notification yenye kosa kuwepo na summary ya makosa yote ambayo mtu akiyafanya anakuwa banned. Hiyo itakuwa somo zuri sana kwa offenders...kwanza kumlipisha itamuuma na pia itachangia maendeleo ya JF na pili ile notification ya makosa ataiweka kichwani kama sala ya bikira maria.
Unaleta mambo ya asha ngedere
 
Uko sawa aisee?
 
Kama lengo la uboreshwaji pia ni wenye uono mdogo waweze kunufaika pia ni jambo zuri..changamoto yangu ni kule chinii mwishoni nikitaka kwenda next list of thread ni mpaka nirudi juuuuu😁😁😁 ndipo niweze kunext...sijajua kama kuna mwingine ana hii changamoto maana kwa ile iliyokuwepo pale mwishoni ukitaka kwenda next mwsho kuna mishale tu unaclick unatembea mbele..natumia web version kwenye chrome.shukran
Umedokeza jambo muhimu. Nikiri kuwa maoni yako yatasaidia kuboresha.

Hili linarekebishwa HARAKA SANA
 
mi naomba Jf iende ifike mahala tuwe na option ya kuwa portal zetu wenyewe kama ilivyo Facebook na zinginezo... where we can login using genuine userID's.
JF ina option hiyo 😊
 
Ndugu, wewe nadhani unaongelea APP (native). Soma vema 1st post naamini ina kitu kwako
Option ya settings siioni, mfano kuondowa hizo makitu mtu asijuwe unatumia device gani, signature na page setting, sioni option ya kuseti the way unataka.
 
Mkuu melo, next threads haipo kabisa kwa watumiaji wa opera mini kwenye visimu vidogo vya batani. (itel, tecno n.k)
 
Option ya settings siioni, mfano kuondowa hizo makitu mtu asijuwe unatumia device gani, signature na page setting, sioni option ya kuseti the way unataka.
Mkuu, hapa nadhani unaongelea App.

Settings zipo… Tutafungua a special thread ya App maana nayo tupo kwenye ukarabati wake.

Meanwhile, jaribu hii App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
 
Mkuu, hapa nadhani unaongelea App.

Settings zipo… Tutafungua a special thread ya App maana nayo tupo kwenye ukarabati wake.

Meanwhile, jaribu hii App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi
Mbona hii ninayotumia nimeinstall kupitia chrome then JF then ndio nikainstall? Naelewa vizuri ila sion option ya settings.

Hapa nilipo natumia dark blue mode, kama nimechange style maana ya yake hilo eneo ilipaswa kuwepo na settings option.
 
Anhaa, chini kuna sehemu imekwambia ENABLE NOTIFICATIONS. Umeiona? Nimekunukuu hapa, umekuwa notified?

Otherwise, tembelea hii page: https://www.jamiiforums.com/account/preferences
 
Mwonekano mbaya na functions nyingi hazina kazi.
Mfano unasoma thread ukichoka ukitaka kurudi nyuma uchague thread nyingine, haina 'back' hadi ushuke mwisho au upande juu ukachague forums upya.
Pia ukidanilodi picha na kusevu huwezi tena kurudi uendelee.

Kero kwangu ni hizo.
 
Kama web itakuwa customized kama ilivyo app (iPhone) itapendeza sana...

Vichwa vya habari vya nyuzi vingekuwa emphasized kwa rangi au weight kuliko font size ingependekeza zaidi.
 
Back
Top Bottom