Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mada nyingi zinazo trend nisizozipenda na inafungukia hapo jf.
 
Shida kwangu ni notifications, huwa sizipati
 
Mwonekano mpya uko Bomba sana, labda angewawekea old version kwa nyie msiopenda mwaonekano mpya.
 
Mods najua mmeshika mpini na sisi tumeshika makali lakini hamjatutendea haki kwa kuondoa Uzi wa kupigia kura muonekano mpya wa jamii forum niliouanzisha jana saa 7:20pm

niwe muwazi sijawahi soma vigezo & masharti vya JF lakini sizani kama kuna sheria nimeivunja kwa kuuweka huo uzi hapo jukwaani

kwa hisia zangu nahisi Uzi umeondolewa kwa sababu ya kuonekana kura nyingi zilikuwa zikionesha kutokufurahishwa na mwonekano mpya wa Jamii Forum

please Maxence Melo naomba angalia namna ya kuurudisha huo uzi au anzisheni nyie uzi mwingine wa kupigia kura mabadiliko ya mwonekano wa JF
Pole mkuu.
Na wasiwasi labda ma mods wamekutungua. Hili limenitokea juzi kati wakati mwanahudhuri mmoja kubandika uzi ambao kwenye maudhui yake anadai "call me racist...I don't care" sikutaka kuchangia mule kwasababu ilikua inakera, ilijaa matusi ya kimbari n.k na karibu niporomoshe matusi, lakini muongozo unasema(kiunagaubaga) ukikuta kitu hukipendi anzisha yako.
Nilianzisha uzi unaosema mwanahudhuri adai tumuite 'racist...uzi wa kupiga kura, waliipiga chini. Sishangai sana na yaliyokukuta lakini nilibugukiwa na maswali mengi sana moja yapo kuwa nahisi kwamba...Kuna mods wazungu? Makaburu? Mbona kuna ma-uzi kibao ndani hapa ambayo kila kukicha ni ya kuwadhihaki watu weusi, kwanini hizo hawaziondoi? Uzi wangu (poll)ulikuwa unauliza umma kama tumuite hivyo kama anavyodai au tusimuite hivyo....huo uzi ulikaa dakika chache sana.

Na wasiwasi sana.

Umeona matangazo ya biashara lakini-utapata jibu.
 
Ila kumekuwa na low thinkers sana kwenye kuanzishwa thread, shida ni nini?

Pia, mtu anapoanzisha simulizi kadri inavyoenda ndo inanoga, afu gafla inaishia njiani, kwakweli hii ni kero kupita maelezo, mara anakwambia nimehamia sehemu fulani, lipia story ndo uipate. Mnashindwaje kulidhibiti hili?
 
Mabadiliko ni mazuri hasa kuficha ID. Shida ipo kwenye font size. Maandishi ni makubwa sana,punguza size
Usiangalie interest yako tu! kuna ambao wanamatatizo ya macho! hii fonts ni standard kabisa!

Mtu anaye lalamika juu ya ukubwa wa font hakika ni mbinafsi, anasahau kuna wabovu wa macho!
 
Maandishi yamekuwa makubwa sana as if wote ni wagonjwa wa macho pia title ni kubwa sana
Kwangu mvuto umepotea kutokana sipati ninacho kihitaji kwa wakati ila kilichopo
Muonekano huu mpya unafanya nijione nimerudishwa nyuma technically na nahitaji kusonga mbele
Rekebisheni
Watu wanalalamika kubadilisha bila kutoa hints za kubadilisha.

eg
1. Fonts size
2. Mpangilio wa forum.
3. Type ya fonts.
4. Muonekano wa forum.

Pamoja na hayo, mimi binafsi nimeridhishwa kabisa na muonekano mpya wa JF. Hongera sana Mello
 
Salaam,

Hakika mwonekano mpya wa JF sio rafiki kwa afya ya macho yetu. Rangi na graphics zingine zimekuwa sio user friendly kabisa.

mpangilio na mwonekano kwa ujumla ni wa hovyo. Binafsi mabadiliko haya ni ya hovyo kuwahi kutokea na hayana sababu za msingi kwanini yatokee.

Maxence Melo and co mmekosea sana. Jf hata imekosa mzuka...haina mvuto tena....yawezekana inaelekea mwisho. Mitandao ya kijamii haihitaji marangi rangi meengi na pia haistahili kuwa migumu kwa kutumia ety mpaka uelekezwe.

Rudisha humble background colours japo utusaidie wengine. Tuko wengi japo pia wanaosifu wapo wengi.
Nipe option mimi niendelee kutumia ile ya zamani....please naomba sana. Nisaidie.

#hiinimbaya
 
Usiangalie interest yako tu! kuna ambao wanamatatizo ya macho! hii fonts ni standard kabisa!

Mtu anaye lalamika juu ya ukubwa wa font hakika ni mbinafsi, anasahau kuna wabovu wa macho!
mtu mwenye shida hiyo anaweza kuongeza font. hapa hatulalamiki tunashauri. kinyume na hapo huu uzi usingekuwepo basi.
 
Mpangilio mbovu sana. Ili bidi huu ndio uwe wa zamani. Not friendly user
 
Appeal system itaboreshwa.

Nakuelewa mkuu
Ban iwe na charges...ili mtu arudishwe alipie kiasi flani lets say 10,000 au 20,000 hapo atajifunza. Na kabla hajalipia kuwe na notification kwake yenye kosa lake ni nini na chini ya hiyo notification yenye kosa kuwepo na summary ya makosa yote ambayo mtu akiyafanya anakuwa banned. Hiyo itakuwa somo zuri sana kwa offenders...kwanza kumlipisha itamuuma na pia itachangia maendeleo ya JF na pili ile notification ya makosa ataiweka kichwani kama sala ya bikira maria.
 
Back
Top Bottom