Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Mkuu Maxence Melo tungeomba mboreshe forum kwa kuweka poll app ikiwezekana, baadhi ya kura tuwe tunapigia kupitia jamii forum. Naomba kuwasilisha.

Hizi stick/special thread zinakera sana...
Kama inawezeka kuwe na ki button cha kuhide na ku unhide..zinakaa juu kabisa wakati siyo kila mtu anazifungua.

Mfn NMB special thread sina hata account nao ya nn sasa kuifungua?
 
Duu... baada ya haya marekebisho muda wangu wa kukaa huku jf umepungua sana.
Wameziba masikio pamoja na kelele zote zilizopigwa kwenye hii thread na mpaka wadau walipiga kura kuukataa huu mwonekano matokeo yakaonyesha wengi hawautaki lakini wapi!
 
Duu... baada ya haya marekebisho muda wangu wa kukaa huku jf umepungua sana.

Duu... baada ya haya marekebisho muda wangu wa kukaa huku jf umepungua sana.
Kweli ndugu, hata mimi natumia mara chache, maana nikiingia kwenye jukwaa lolote nakuta heading moja , kuona nyingine hadi niscroll , nimewasilisha hoja , now najaribu kuona kama ni mazoea au ndio naachana nayo ado ado
 
Fanyieni kazi hili kuwa uhai wa hii platform
 
Kweli ndugu, hata mimi natumia mara chache, maana nikiingia kwenye jukwaa lolote nakuta heading moja , kuona nyingine hadi niscroll , nimewasilisha hoja , now najaribu kuona kama ni mazoea au ndio naachana nayo ado ado
Mi nahisi naachana nayo mdogo mdogo maana zamani ikipita nusu saa sijaingia jf naumwa ila sasa hivi naisahau kama ipo
 
Kweli ndugu, hata mimi natumia mara chache, maana nikiingia kwenye jukwaa lolote nakuta heading moja , kuona nyingine hadi niscroll , nimewasilisha hoja , now najaribu kuona kama ni mazoea au ndio naachana nayo ado ado
Halafu ukienda kwenye recommended unakuta nyuzi za uchaguzi wa kenya tu, sijui ni kwangu tu au vipi?
Why ziwe za kenya tu sijui wamenionaje hawa watu..sijawahi changia nyuzi za kenya
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kiswahili chako ni cha kikenya... kiswanglish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…