Labda waiscreenshort halafu waiprint
Moderators wa humu hawapo serious kuhakikisha michango yote kwenye mada ina mahusiano na mada hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moderators wa humu hawapo serious kuhakikisha michango yote kwenye mada ina mahusiano na mada hiyo.
Mm hii ya kuclick next page ndio siipendi kabisa, nikaona acha nirudi kwenye App tu.
Nitarudi kwenye app tu muonekano wa sasa haupendezi kabisa kabla ilikuwa imekaa vizuri sana ona hapa screeshot ya kwanza ni baada screeshot ya pili ni kablaHii ni changamoto aisee, Mi mwenyewe natumia browser nimeona trendings tu bila forums. Kuna majukwaa huwa napenda kuanza nayo au kuingia mara kwa mara.
Nilichofanya nime-clear cookies kisha nikaingia jamiiforums upya bila ku-login. Hapo utaona forums zote.
Baada ya hapo nikasave huo ukurasa wenye forums zote kwa ufikiaji wa haraka muda wowoe then nika-login.
Imekuwa kitu cha ajabuaisee ni afadhali ibaki ule muonekano wa mwanzo huu mwonekano ni mbaya sana kwa kweli
Unatumia app au browser?Hapo tatizo liko wapi ?
Scrow ni mkeka mrefu mno labda kuwepo mpunguzo wa wingi maandishi kama ile ya leo asubuhinext page inakera kwakweli tuliishaachana na haya mambo tokea jf ya ndroid 6 huko.
Ukitazama kuna nafasi kubwa inabaki unused kama wakibana vizuri content huenda ikasaidia kubeba ujumbe mwingi kwa nafasi kidogoKwa mimi ninayetumia chrome naona comments mbili zinajaza screen maandishi makubwa mno , naona bora nitumie Freebasic app kidogo naenjoy ..
PointKuna umuhimu wa kwenda page 2, page3 nk.
Hii inasaidia mtu kuwa anakariri comment fulani au mada fulani ilikuwa pagenamba gani.
Halafu inamfanya mtu kuwa engaged na kuweza kusoma comment zote/kupitia mada zote mpaka page ya mwisho.
ila ukiweka option ya kuscroll tu kwenda chini, inamfanya mtu awahi kuboeka na kutaka kuscroll mpaka mada/koment ya mwisho.