Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida?
Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na:
1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo)
2: matumizi ya vishikwambi
3: mabadiliko ya siku, (sensa nyingine zilianza siku ya jumapili)
4: hamasa kubwa kwa kutumia mabango na hashtag
5: upigaji wa picha viongozi na hatimaye raia wengine; wakati na baada ya kuhesabiwa (japo 2012 sikuwa na smartphone mtu yeyote anaweza kutuma picha za viongozi waliopigwa picha wakati au baada ya kuhesabiwa)
6: Aina na idadi ya maswali
7: sifa za makarani (mfano umri) nk
Kwa mabadiliko hayo machache na mengine mengi, je yana tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla?