LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mabadiliko hayo yote yanavunja katiba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kilaza kaa kimya. Kwanza Rais akiwa madarakani hashitakiwi kwa jinai yoyote. Pili mwanasheria mkuu atawasimamia hao viongozi kwa ishu ambazo watakuwa wanmeshitakiwa wakifanya kazi zao. Na imeruhusiwa kuwashitaki ila mashitaka yanapelekwa kwa Ag. Hata mpaka sasa Ag ndio huwa ana wakilisha viongozi wakishitakiwa kwa kazi wanazozifanya.Hivi wewe ni Mwanasheria? Kama jibu ni ndiyo basi ulipoteza muda wako bure na iwapo jibu ni hapana waachie Wataalamu wa sheria waongee!
Unajua maana ya SHERIA NI MSUMENO kuwa inakata kotekote?
Rais Magufuli tangu ameingia kwenr Utawala amekuwa ni mwenye kutengeneza sheria kandamizi huku yeye akijihami ili sheria isimshughulikie! Kifupi huyu ni dikteta perce.
Kwa akili ya kawaida tu....haiwezekani afanye makosa Rais Magufuli, Makamu Suluhu Hassan, PM Msjaliwa, Spika Ndugai na Naibu wake Tulia Ackson, lakini ATI atayeshtakiwa ni Mwanasheria Mkuu! Wapi na wapi?
Huu ni uvurugaji mkubwa Sana wa mfumo wa Sheria na Mahakama zetu za Tanzania.
Lakini akidi ilikuwa inatosha kupitisha katiba mpya baada ya wapinzani kutoka na bunge la katiba.Na nadhani ilishapitishwa inasubiri kuzinduliwa tuWapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
Unavyoongea kwa kurembua huku umebinua kichuguu kwa raha zako mwenyewe ukiwa katikati ya jiji la mombassa ukinyweshwa sharubati ya ute wa mayai mabichi
Hivi na wewe bado una damu ya kumwagwa?? [emoji12]Huu uchaguzi wa 2020 inaelekea damu zitamwagika. Hali si nzuri Kuna wanaopigana kwa meno na kucha ili wabaki madarakani.
wee mvuta bangi katiba mpya au katiba ya CCM halafu hao wapinzani wanauwezo gani humo bungeni au mzee bangi zimekoleaWapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
Wapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
R. I. P mzee Augustine Mahiga. [emoji850]
Sheria yeyeto inaupenye wa mapungufu yake hio hio yawezatumika na wakasomeshwa namba piaHapo kabla walikuwa wanafunguliwa kesi?
Pia ikipita watatutesa sana kuliko awamu iliyopitaWatu wamefanya ukatili kisha wanajitungia sheria ili kulinda uharamia wao. Kibaya zaidi wanatunga sheria za kujilinda, lakini hawataki katiba ya wananchi! Hapa ndio vyama vya upinzani wanapaswa kupiga kelele za kutosha.
Watanzania tunawabeza sana wapinzani,Mimi nawashauri wapinzani nyamazeni kimyaaaaaa,msiseme lolote kuhusu hili,wacheni wapitishe mambo yao,wapeleke na muswada mwingine wa kuwaabudu wao Watanzania tuko tayari tutawaabudu tu.Watu wamefanya ukatili kisha wanajitungia sheria ili kulinda uharamia wao. Kibaya zaidi wanatunga sheria za kujilinda, lakini hawataki katiba ya wananchi! Hapa ndio vyama vya upinzani wanapaswa kupiga kelele za kutosha.
Kinga ya kutoshtakiwa si Kinga ya kutolipwa kulingana na matendo yako.Halafu bado kuna mtu na akili zake timamu atakuja hapa kupongeza CCM na mwenyekiti wake.
Sasa wakipitisha hiyo sheria kama watakavyo, kutakuwa na tofauti gani kati ya Viongozi wa serikali ya sasa na ile ya kikoloni?!