Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasubiri kutetewa na wabunge, kweli watanzania bado safari ni ndefu. Kwa idadi ya wabunge wa upinzani kwa ccm wasingetoboa, ongezeni hata idadi ya wabunge waupinzani hamtaki ila msipotetewa mnalalamikaWapinzani wasingesusia bunge la katiba huenda tungekuwa na katiba mpya!
CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).
Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.
Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona, na ni sheria imepitishwa.
Tindo, tatizo ni wananchi wala si viongozi. Wanajua chochote wanachofanya hakuna opposite reaction . Kama watu wakiandamana kupinga ,upumbavu hauwezi kupitishwa. Sema wanajua WaTz hawajali haki zao.Huyu mkuu ameona kabisa atawekwa kwenye mikono ya sheria, hao anaowatuma kunajisi katiba wamemwambia kuwa wao hawako salama kama yeye, hivyo kaona atengeneze sheria zitakazowalinda wote. Hiyo ni ishara kuwa wanajiandaa kufanya ukatili na kunajisi katiba kwa kiwango cha juu, hivyo wanajiwekea kinga.
Kuna conditions zimewekwa ili uweze kufungua kesi. Sio kwamba unazuiliwa. Hata hivyo toka hapo awali hata ukimshitaki Rais ni Ag ndio alikuwa anamuwakilisha. Mimi nafikiri Chadema wamepanick kila kitu mnadandia mkizani kitawasaidia.Tindo, tatizo ni wananchi wala si viongozi. Wanajua chochote wanachofanya hakuna opposite reaction . Kama watu wakiandamana kupinga ,upumbavu hauwezi kupitishwa. Sema wanajua WaTz hawajali haki zao.
do nashangaa namimHahhahaha.
Soon utasikia kikomo cha urais ni miaka 50.
Sijui wanahangaika nini wakati bunge lijlo watajazana wenyewe bungeni chini ya Tume y Chato
ofcourseMbombo ngafu mwarafyale...!!
Huyu Rais Magufuli ana vimelea vya Kidikteta kwa 100%%
Huyu mtu anaharibu kabisa Tanzania yetu....!!!But God is watching from a distance!!
RAFIKI, mbona umeguna!Duh...!.
P