Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

Wanajua huwa wanafanyia raia wao uhuni makusudi ndio maana wanatunga hizo sheria zakujilinda, CCM imelaaniwa.
 
Wenye nchi wameshaamua kujitungia sheria za kuwalinda,ni vigumu kufahamu wanaogopa nini?
 
CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).

Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.

Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona, na ni sheria imepitishwa.
 
Tawala iliyojaa ufisadi,kubaka katiba,kuvunja utawala wa sheria,kufunga wakosoaji lazima ibadili katiba kujilinda,tumehubiriwa na nzi wa kijani kua ni chuguo la mungu.
Ila matendo yake ni chaguo la mungu wa mashetani wa kijani
 
CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).

Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.

Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona,na ni sheria imepitishwa.
Kwani hapo Ufipa sumu inaonjwa?!
 
Huyu mkuu ameona kabisa atawekwa kwenye mikono ya sheria, hao anaowatuma kunajisi katiba wamemwambia kuwa wao hawako salama kama yeye, hivyo kaona atengeneze sheria zitakazowalinda wote. Hiyo ni ishara kuwa wanajiandaa kufanya ukatili na kunajisi katiba kwa kiwango cha juu, hivyo wanajiwekea kinga.
 
Huu uchaguzi wa 2020 inaelekea damu zitamwagika. Hali si nzuri Kuna wanaopigana kwa meno na kucha ili wabaki madarakani.
 
CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).

Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.

Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona, na ni sheria imepitishwa.
Kama ni sheria za kipumbavu akija rais mwenye akili lazima apindue meza.
Na wahusika wapelekwa wakanyee debe hata kwa matumizi ya nguvu
 
Back
Top Bottom