Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

Chadema kila siku wanalalamikia mabadiriko sasa yakija wanayakataa kwani hayo siyo mabadiliko?
 
Yaani huyu Jiwe ndiyo anajidhibitisha kuwa yeye ni Dictator pure.......

Yote hiyo ni kutaka kumpa madaraka Spika Ndugai, awatangaze kuwa ni wabunge halali, akina Mwambe na mwananchi ukitaka kulipinga hilo mahakamani ugonge mwamba!
 
Kama Mahakamani sehemu ambayo tulitarajia haki ipatikane, nako haki inaminywa, si ndio mwanzo wa wananchi kujichukulia sheria mkononi na kudai haki kwa nguvu? Mwishowe si ndio mwanzo wa vurugu?

Mungu tunaomba uilinde Tanzania [emoji1241] yetu na amani yake.
 
Wote mmesikia mswada unaopelekwa bungeni unao zuia Rais, makamu, spika, waziri mkuu, Jaji Mkuu kuto shtakiwa hata wakivunja Katiba.

Kwa maana halisi wanajiwekea mazingira ya kuvunja katiba na kutoitumia kabisa maisha yao yote.

Tabaka hili la watawala litajipa Umungu si muda mrefu kama sheria wanayo ipitisha itawaona hawana hatia hata wakifanya jinai.

Watawaliwa kwa mswada huu hawana lolote.

1. Kura wataiba
2. Katiba watavunja
3. Jinai watafanya

Labda wanasheria twambieni kama sheria inaweza ku override katiba.
IMG-20200604-WA0006.jpeg
 
Nyie endeleeni kumshabikia kigogo huku tupo field tukijiweka tayari kwa ajili ya oktoba
 
Nchi gani hiyo duniani haina watawala na watawaliwa, itaje moja tu, au unataka kuwa kama Al-Shabab wa Somalia? Na Al-Shabab hawana nchi nao wanapigana kutaka kutawala nchi kwa sharia ya kiislam.
 
Back
Top Bottom