Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wasichokijua CCM ni kwamba hawana chama tena!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hapo Ufipa sumu inaonjwa?!CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).
Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.
Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona,na ni sheria imepitishwa.
Kwani hapo Ufipa sumu inaonjwa?!
Siasa ni sayansi bwashee!Ila Maria aibu sana bwashee
Huu uchaguzi wa 2020 inaelekea damu zitamwagika. Hali si nzuri Kuna wanaopigana kwa meno na kucha ili wabaki madarakani.Huyu mkuu ameona kabisa atawekwa kwenye mikono ya sheria, hao anaowatuma kunajisi katiba wamemwambia kuwa wao hawako salama kama yeye, hivyo kaona atengeneze sheria zitakazowalinda wote. Hiyo ni ishara kuwa wanajiandaa kufanya ukatili na kunajisi katiba kwa kiwango cha juu, hivyo wanajiwekea kinga.
Kama ni sheria za kipumbavu akija rais mwenye akili lazima apindue meza.CCM ni chama kinachoelekea kuiweka nchi katika hali ya sinto fahamu. Vyama vya upinzani vilizuiwa kufanya siasa tangu 2015. Wabunge wengi wa upinzani wamerubuniwa kwa maslahi yao binafsi kurudi CCM na sikuhizi wanachepukia CCM B (NCCR Mageuzi).
Ukizingatia ile kauli ya Rais Magufuli kuwa nikuteue wewe, ni kulipa mshahara na gari la kutembelea alafu umtangaze mpinzani ameshinda. Ni wazi kwamba CCM wamejipanga kuwa na the majority seats katika Bunge lijalo.
Hizo Sheria zitakazopitishwa huko Mungu atusaidie, tunawza kujikuta tunamnunulia Rais oxygen kutoka mawinguni ili tumlinde na magonjwa cams corona, na ni sheria imepitishwa.
Chadema kila siku wanalalamikia mabadiriko sasa yakija wanayakataa kwani hayo siyo mabadiliko?
Nyie endeleeni kumshabikia kigogo huku tupo field tukijiweka tayari kwa ajili ya oktoba
IPO.siku watu watazinduka PATANUKASiasa ni sayansi bwashee!
naomba softcopy yake kam unayoNimetoka kusoma kitabu cha state of blood kilichoandikwa na Henry Kyemba aliyekuwa waziri kwenye serikali ya Idd Amini kuna mambo mengi yanayofanana na kinachoendelea sasa.