Mabadiliko ya Sheria Subsection 47A kwenye Criminal Procedure Act (CPA) yanaenda kumuokoa Luteni Urio na Polisi wote wahusika kwenye kesi ya Mbowe

Uzuri Sheria hairudi nyuma hata siku moja, hii ikitungwa itakuta tukio lilishapita tutaona kama Jaji Tiganga atabackward Sheria.
 
Hata hivyo, hayo marekebisho yanamtaja Police officer pekee. Lut. Urio sio police officer
 
Uzuri Sheria hairudi nyuma hata siku moja, hii ikitungwa itakuta tukio lilishapita tutaona kama Jaji Tiganga atabackward Sheria.
Tanzania Sheria hurudi nyuma. Ni muhimu uelewe kuwa Tanzania ni taifa lisilo na stands, mfano wa Sharia retrospective ni Ile ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
 
Serikali za kidikiteta hizi badala wakae kuleta maendeleo wao ni kukata kamba wale mpaka wavimbiwe.

Mungu atawalaani
 
Unamdanganya nani? Hivi kwanini ujiite ccm wakati unajulikana wewe ni chadema! Unadhani ukijenga hoja yako bila kudanganya na si kuongopa hutafaniniwa?
Watoto mliojiunga kwa Wimbi la Ccm Sabaya na Jiwe mnajua nini?
 
Haitoweza kutumika kwenye kesi hii kwa sababu imetungwa wakati kesi tayari imeanza kusikilizwa ivyo haina uhalali kwa kesi hii,labda kesi zijazo
 
Subiri maamuzi ya mahakama!
Tayari wanayo hukumu mfukoni, kwani haukuwasikia Kamanda Zero na Mtemi Chui Jike. Lakini Mungu wa haki hatowaacha wafanikiwe kutekeleza USHETANI wao.
Tunapokaribia March 17,maadhimisho ya kuanguka kwa Babeli mkuu, ni busara wale waliyojaa udhalimu wakaamua kujitafakari na kubadilika.
AMEN
 
Uzuri Sheria hairudi nyuma hata siku moja, hii ikitungwa itakuta tukio lilishapita tutaona kama Jaji Tiganga atabackward Sheria.
Tanzania Sheria hurudi nyuma. Ni muhimu uelewe kuwa Tanzania ni taifa lisilo na stands, mfano wa Sharia retrospective ni Ile ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu.
Kwa Tanzania hilo linawezekana.
Hawa ndugu hawajaijua nchi yao chini ya ccm. Unatangulizwa mahakamani na Sheria inatunga baadaye ikukute huko huko.
 
Naomba kuuliza na sijasoma coment za watu juu kama kuna mtu kauliza same question...haya mabadiliko kesheria yanaweza kulinda na kujustify matendo yaliyofanyika kabla ya sheria kuwepo au ni baada maana kwa layman knowledge huwezi kufanya kitu bila kuongozwa na sheria yoyote iliopo alafu baadae uje ulindwe na sheria mpya ambayo kipindi unafanya maamuzi haikuwepo.
 
Yamepelekwa lini?
 
Hata hivyo, hayo marekebisho yanamtaja Police officer pekee. Lut. Urio sio police officer
Tena inaweka mkazi kuwa,wakati wote wa operation,huyo afisa polisi undercover Anatakiwa kufuata PGO!
So sioni sheria hiyo ikimuhusu Urio!
 
Unamdanganya nani? Hivi kwanini ujiite ccm wakati unajulikana wewe ni chadema! Unadhani ukijenga hoja yako bila kudanganya na si kuongopa hutafaniniwa?
Precedence ya kusema uongo imeanzia CCM kwa mfano:
i.Fedha za ESCROW siyo za serikali.
ii.Uchumi wa Tanzania unapaa-uchumi wa kati chini.
iii.Nchi ya viwonder
iv.Tanzania ni tajiri.
v.Tutalipwa US$ 190 Bilion.
vi.etc
Vyote vikawa hewa.CCM Ph.D za uongo zimeenea.
Tahadhari-Watanzania sio wajinga!Wanafahamu tofauti kati ya ukweli na urongo wa kimfumo uliokithiri.Tumefikia hatua ya wananchi kuzuiwa na kuhofia kusema ukweli wa jambo lolote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…