Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa hatuyajadili tena. Sasa ni Feitoto, Yanga na Medali

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
Umechelewa kuwajua watanzania
 
Yaani FM radio hazina programs wanaenda matumizi tu zoote kabisa kweli suala nyeti kama hilo tumelitupaaa
 
Hata tuajadili namna gani mswada utapita tu la muhimu ni kuelimisha wananchi juu ya katiba mpya na kuwakataa wabunge wa ccm vinginevyo tunatwanga maji kwenye kinu tu.waelimishwe wananchi wa vijijini mabaya ya kuwa na wabunge wenye itikadi moja.
 
Jina hilo ninalionaona sana kwenye mitandao ya jamii; hivi ni nani huyo?
 
Kwa sasa wamesahau, labda watakumbuka tena na kuijadili Sheria hiyo mara tu watakapoanza kuona tena Wananchi wakianza kutekwa tena na "watu wasiojulikana," maiti za watu kuokotwa kandokando ya fukwe za baharii, mitoni, barabarani, au watu kuanza kushambuliwa kwa silaha nzito za kivita au watu kupotea ktk mazingira ya kutatanisha, n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…