Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Ndoa ngumu!! Maumbile tu kubadilika tena kwa sababu zinazoeleweka mtu anachepuka mpaka basi! What if ungepata tatizo kikaondolewa kabisa(hatuombei ila nawaza tu) !!?
[emoji24] [emoji24] ingekuwa balaaa...men are so selfish
 
Mmmmh dah wanaume wanaangaikiwa sana. Anyway acha kabisa kunawa maji ya moto huko chini.

Usijaribu kuweka huko chini vitu kama limao au shaba vyote vinabana lakini vina madhara makubwa eg fangas zisizopona naama uke hauna kinga ya asili tena. Tumia maji ya baridi kuosha tuuu
 
Kama hewa bado inatoka hujapona vizuri kwa ndani,ulishonwa vibaya,PIA acha kabisa kuinama na Kazi ngumu,kufua fua umekaa huku umebana miguu,me walinichana kuongeza njia episiotomy si mchezo,nilitulia one year nikapona fresh pakarudi normal.
Pole mkuu. Asante kwa ushauri
 
Maji ya moto nilisikia ni kukanda tumbo siyo huko nyetini kwani huongeza majanga haya ndiyo niliyoyasikia.

Sikuwahi kutumia maji ya moto...tena mama huyapiga marufuku kwa binti zake wote....

Na kama alishonwa maji ya moto ndio marufuku
 
Kuna product special kwa ajili ya wanawake kubana K nitaanza kuuza mwezi ujao mwishoni. Zinaitwa kegel exerciser kwa ajili ya kuimarisha misuli ya K. Karibu sana
 
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Wanawake sisi huwa tunajiangaisha sana kudhani tunaweza kuitafuta furaha ya mwanaume kwa kupitia maumbile yetu,hii ndio sababu wanawake wengine hufikia mpaka kufanya matendo kinyume na maagizo ya M/Mungu, hebu tutulie tuangalie furaha yetu kwanza maana kama umejaaliwa kujifungua mtoto mzima mwenye Afya tele basi ni furaha tosha kuliko kuisubiria furaha ya mumeo,Michepuko kwa wanaume ni kipimo cha upumbavu wao
 
Usijiweke roho wima na vitu vidogo kama hivyo... Huyo jamaa yako anachepuko wala siyo kwa sababu ya uke wako kuongezeka wala nini... Ni kwa sababu kaamua au ni tabia yake au tamaa zake tuu..

Na pia inawezekana labda yale mliyokuwa mnafanyiana kabla umepunguza au kuacha kabisa...


Leo mwanao/wanao vizuri sisi wanaume mara zingine haturidhiki na hatuna shukurani...


Cc: mahondaw get well soon love...



Thanks Smart911 mylove
Unanijali kwa staili ambayo nashindwa hata nikushukuruje yani kwakweli mungu akubariki sana mylove akujaalie akutimizie haja za moyo wako
Smart911 nakupenda kiasi kwamba mpaka sijielewi
 
Maji ya moto nilisikia ni kukanda tumbo siyo huko nyetini kwani huongeza majanga haya ndiyo niliyoyasikia.
Majo ya moto ni kuogea haswa yanafanya mwili uwe murua (ni ya uvuguvugu wa kawaida)..... na kwa kuchua mgongo mabega tumbo maana kuneba mimba na kujifungua sio mchezo....

Nyeti ipigwe maji baridi.
Kwanza nyuzi na maji ya moto wapi na wapi ndio mwanzo wa kuachia......

Ila.sasa kuna wengine wanajua maji ya moto ni kuoshea kule kwa bibi hapo ndipo matatizo yanapoanza
 
Thanks Smart911 mylove
Unanijali kwa staili ambayo nashindwa hata nikushukuruje yani kwakweli mungu akubariki sana mylove akujaalie akutimizie haja za moyo wako
Smart911 nakupenda kiasi kwamba mpaka sijielewi
mahondaw usijali love... Am here for you... Utapona soon... Ila uache uwoga wa kumeza dawa love... At least now you getting better..
 
Tulia kwanza usifanye mambo ya wakubwa,patarudi tu,kalia maji ya moto na salt,then bana miguu mda mwingi,inaonekana ulichanika Sana,so jipe likizo one yr hadi upone.
One year haujigijiwi??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ameolewa na roboti au?
 
Misuli ya Vagina itabana,then utafurahia tendo la ndoa.Kisaikolojia utakuwa na amani mwenzako nae ana furahia pia.
OK. I see wanawake wanatumia muda wao na ujuzi wao wote kuhakikisha mwanaume anafurahia tendo.
 
Tatizo mnawahi hata hamjapona vema.jipe mda mamii,usiwaze atachepuka wakati hata ukimpa anachepuka.
pili mtoto akizaliwa mambo huwa mengi wanaume hawapendi kelele za watoto so hutafuta pa kujiliwaza.
dawa ya komesha micheps ni maombi,Anza Leo haraka Sana,kwa akili zako huwezi.
Daah!!! This is not fair!!!
Nibebe mimba miezi tisa... Nijifungue na kunyonyesha miaka miwili... Alafu lijitu lipolipo tu, kelele ya mtoto ndo imfanye anisaliti!!! Huu unyama aisee
 
Back
Top Bottom