- Thread starter
- #61
[emoji24] [emoji24] ingekuwa balaaa...men are so selfishNdoa ngumu!! Maumbile tu kubadilika tena kwa sababu zinazoeleweka mtu anachepuka mpaka basi! What if ungepata tatizo kikaondolewa kabisa(hatuombei ila nawaza tu) !!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji24] [emoji24] ingekuwa balaaa...men are so selfishNdoa ngumu!! Maumbile tu kubadilika tena kwa sababu zinazoeleweka mtu anachepuka mpaka basi! What if ungepata tatizo kikaondolewa kabisa(hatuombei ila nawaza tu) !!?
Pole mkuu. Asante kwa ushauriKama hewa bado inatoka hujapona vizuri kwa ndani,ulishonwa vibaya,PIA acha kabisa kuinama na Kazi ngumu,kufua fua umekaa huku umebana miguu,me walinichana kuongeza njia episiotomy si mchezo,nilitulia one year nikapona fresh pakarudi normal.
Sikuwahi kutumia maji ya moto...tena mama huyapiga marufuku kwa binti zake wote....
Na kama alishonwa maji ya moto ndio marufuku
Limao kweli?Mosi uwe unanawia huko kwa bibi maji yaliyotoka kwenye friji,mbili uwe unabana K na kuachia.Tatu pia uwe unaweka maji ya limao.
Nipe faida ya kufanya hivyo tafadhali.Mosi uwe unanawia huko kwa bibi maji yaliyotoka kwenye friji,mbili uwe unabana K na kuachia.Tatu pia uwe unaweka maji ya limao.
Wanawake sisi huwa tunajiangaisha sana kudhani tunaweza kuitafuta furaha ya mwanaume kwa kupitia maumbile yetu,hii ndio sababu wanawake wengine hufikia mpaka kufanya matendo kinyume na maagizo ya M/Mungu, hebu tutulie tuangalie furaha yetu kwanza maana kama umejaaliwa kujifungua mtoto mzima mwenye Afya tele basi ni furaha tosha kuliko kuisubiria furaha ya mumeo,Michepuko kwa wanaume ni kipimo cha upumbavu waoWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Usijiweke roho wima na vitu vidogo kama hivyo... Huyo jamaa yako anachepuko wala siyo kwa sababu ya uke wako kuongezeka wala nini... Ni kwa sababu kaamua au ni tabia yake au tamaa zake tuu..
Na pia inawezekana labda yale mliyokuwa mnafanyiana kabla umepunguza au kuacha kabisa...
Leo mwanao/wanao vizuri sisi wanaume mara zingine haturidhiki na hatuna shukurani...
Cc: mahondaw get well soon love...
Majo ya moto ni kuogea haswa yanafanya mwili uwe murua (ni ya uvuguvugu wa kawaida)..... na kwa kuchua mgongo mabega tumbo maana kuneba mimba na kujifungua sio mchezo....Maji ya moto nilisikia ni kukanda tumbo siyo huko nyetini kwani huongeza majanga haya ndiyo niliyoyasikia.
Misuli ya Vagina itabana,then utafurahia tendo la ndoa.Kisaikolojia utakuwa na amani mwenzako nae ana furahia pia.Nipe faida ya kufanya hivyo tafadhali.
mahondaw usijali love... Am here for you... Utapona soon... Ila uache uwoga wa kumeza dawa love... At least now you getting better..
One year haujigijiwi??? [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tulia kwanza usifanye mambo ya wakubwa,patarudi tu,kalia maji ya moto na salt,then bana miguu mda mwingi,inaonekana ulichanika Sana,so jipe likizo one yr hadi upone.
OK. I see wanawake wanatumia muda wao na ujuzi wao wote kuhakikisha mwanaume anafurahia tendo.Misuli ya Vagina itabana,then utafurahia tendo la ndoa.Kisaikolojia utakuwa na amani mwenzako nae ana furahia pia.
Daah!!! This is not fair!!!Tatizo mnawahi hata hamjapona vema.jipe mda mamii,usiwaze atachepuka wakati hata ukimpa anachepuka.
pili mtoto akizaliwa mambo huwa mengi wanaume hawapendi kelele za watoto so hutafuta pa kujiliwaza.
dawa ya komesha micheps ni maombi,Anza Leo haraka Sana,kwa akili zako huwezi.