Robert James Masunga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 414
- 395
ungesema mapema ningekushauri ukajifungue kwa oparesheni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hapendi harufu ya maziwa si avae mask! Sababu gani sasa hii? Kwa hiyo mama avumilie jamaa kuchepuka lakini jamaa hawezi vumilia harufu ya chakula cha mtoto wake!Sababu ya Mtoto,akishafikisha at least mwaka upendo utarudi,kwa Sasa harufu ya maziwa,huwa wanaume wengi hawapendi,pili anahic hujapona vizuri
Nimekupenda bureee! True talkMie sio mtaalam wa hayo mambo but nachokiona hapa ni mumeo kuwa mshenzi na kujitoa ufahamu ktk masuala ya msingi...mwanaume anaejitambua hawezi kuwa na akili za kitoto kwamba amzalishe mkewe watoto kisha ayakatae mabadiliko ya kimaumbile na wakati mwengine hata tabia,kama issue ndogo kama hii anaanza kuchepuka je siku chuchu zikiwa saa 10 alaasiri itakuwaje?na siku umbile lako la No8 likianza kuwa muundo wa duara si atawaleta vimada nyumbani?kaa nae chini umwambie asipoelewa kuna watu wazima waambie wakusaidie mapema akikuzalisha wa tatu utaziona sarakasi zaidi.
Majo ya moto ni kuogea haswa yanafanya mwili uwe murua (ni ya uvuguvugu wa kawaida)..... na kwa kuchua mgongo mabega tumbo maana kuneba mimba na kujifungua sio mchezo....
Nyeti ipigwe maji baridi.
Kwanza nyuzi na maji ya moto wapi na wapi ndio mwanzo wa kuachia......
Ila.sasa kuna wengine wanajua maji ya moto ni kuoshea kule kwa bibi hapo ndipo matatizo yanapoanza
Watu wanavyokuwa na wivu kwa wapenzi sio kwamba wanawapenda sana, muda mwengine wanaogopa magonjwaacha achepuke atarudi tu ,hela ya familia si anatoa?
sasa unataka huyu mama afanyeje na jamaa anachepuka? na kuachika haweziWatu wanavyokuwa na wivu kwa wapenzi sio kwamba wanawapenda sana, muda mwengine wanaogopa magonjwa
Sawa achepuke tu atarudi, akirudi na magonjwa je?
Mwanamke pia anafurahia.OK. I see wanawake wanatumia muda wao na ujuzi wao wote kuhakikisha mwanaume anafurahia tendo.
Umetumia kipimo gani kujua uke umepanuka? Au ni hisia zinakudanganya kama vp ni pm nije kuchukua kipimoWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
bado kijana mimi usinizeeshe haraka kiivyo kwani kuomba picha ni kosa! hata hivyo ni uamuzi wake kuweka ama kutoeka.. mbona kuna mdau humu alishaga weka za korodani!! kila mtu nauchaguzi wakeKhaaaa ndo mana nakwambia umezeeka
Yani ulikaa mwaka mzima bila kufanya sex?Kama hewa bado inatoka hujapona vizuri kwa ndani,ulishonwa vibaya,PIA acha kabisa kuinama na Kazi ngumu,kufua fua umekaa huku umebana miguu,me walinichana kuongeza njia episiotomy si mchezo,nilitulia one year nikapona fresh pakarudi normal.
Mie sijui bibie hayo mavitu,sijui manzi wangu nae amekuwa hivyo ametoka kujifungus wiki iliyopita kwa kuongozewa njia! Sasa kama inatakiwa akae mwaka moja hapo ni lazima nitafute mchepuko masna mie siwezi kukaa mwaka mzims bila sexMkuu sasa nifanyeje
Aaaah Juu ya stamina umejuaje wewee?? Kumbuka ng'ombe huwa hazeeki mainl.... ila kiukweli kuchepuka ni tabia ya mtu na si vinginevyoKuchepuka kwake has absolutely nothing to do na maumbile yako. Acha kujishusha confidence. Wewe ni mrembo, na umeleta uhai duniani. Jivunie kwa hilo, jiamini, na jikubali manake na umri unasogea. Fanya kegel kwa ajili yako (inadaiwa unafurahia tendo la ndoa zaidi kwa kuwa na misuli ya uke imara). Kegel itakusaidia pia kuweza kuzuia mkojo wakati uzee unapogonga hodi.
Usijiadhibu kwa kuchepuka kwake. Na wala katika maugomvi yenu usiongelee uke wako manake hata yeye ile stamina uliyomkuta nayo enzi za ujana hana tena.
Aaaah Juu ya stamina umejuaje wewee?? Kumbuka ng'ombe huwa hazeeki mainl.... ila kiukweli kuchepuka ni tabia ya mtu na si vinginevyo