Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Sababu ya Mtoto,akishafikisha at least mwaka upendo utarudi,kwa Sasa harufu ya maziwa,huwa wanaume wengi hawapendi,pili anahic hujapona vizuri
Sasa kama hapendi harufu ya maziwa si avae mask! Sababu gani sasa hii? Kwa hiyo mama avumilie jamaa kuchepuka lakini jamaa hawezi vumilia harufu ya chakula cha mtoto wake!
 
Mie sio mtaalam wa hayo mambo but nachokiona hapa ni mumeo kuwa mshenzi na kujitoa ufahamu ktk masuala ya msingi...mwanaume anaejitambua hawezi kuwa na akili za kitoto kwamba amzalishe mkewe watoto kisha ayakatae mabadiliko ya kimaumbile na wakati mwengine hata tabia,kama issue ndogo kama hii anaanza kuchepuka je siku chuchu zikiwa saa 10 alaasiri itakuwaje?na siku umbile lako la No8 likianza kuwa muundo wa duara si atawaleta vimada nyumbani?kaa nae chini umwambie asipoelewa kuna watu wazima waambie wakusaidie mapema akikuzalisha wa tatu utaziona sarakasi zaidi.
Nimekupenda bureee! True talk
 
Ukiweza kuogea maji ya baridi pia ni bomba sana kiafya. Utapata shida kwa sekunde chache kisha mwili huzoea. Kiafya inashauriwa kuoga maji ya baridi na siyo ya moto.
Jaribu kwa wiki utayapenda. 😛

Majo ya moto ni kuogea haswa yanafanya mwili uwe murua (ni ya uvuguvugu wa kawaida)..... na kwa kuchua mgongo mabega tumbo maana kuneba mimba na kujifungua sio mchezo....

Nyeti ipigwe maji baridi.
Kwanza nyuzi na maji ya moto wapi na wapi ndio mwanzo wa kuachia......

Ila.sasa kuna wengine wanajua maji ya moto ni kuoshea kule kwa bibi hapo ndipo matatizo yanapoanza
 
Watu wanavyokuwa na wivu kwa wapenzi sio kwamba wanawapenda sana, muda mwengine wanaogopa magonjwa
Sawa achepuke tu atarudi, akirudi na magonjwa je?
sasa unataka huyu mama afanyeje na jamaa anachepuka? na kuachika hawezi
 
Ni umalaya TU wa mumeo, kuchepuka hakuhusian na size ya uke na kuzaa hakuongez size mi ni mwanaume Ila Nina mke na watto najua sana.
 
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Umetumia kipimo gani kujua uke umepanuka? Au ni hisia zinakudanganya kama vp ni pm nije kuchukua kipimo
 
Kuchepuka kwake has absolutely nothing to do na maumbile yako. Acha kujishusha confidence. Wewe ni mrembo, na umeleta uhai duniani. Jivunie kwa hilo, jiamini, na jikubali manake na umri unasogea. Fanya kegel kwa ajili yako (inadaiwa unafurahia tendo la ndoa zaidi kwa kuwa na misuli ya uke imara). Kegel itakusaidia pia kuweza kuzuia mkojo wakati uzee unapogonga hodi.

Usijiadhibu kwa kuchepuka kwake. Na wala katika maugomvi yenu usiongelee uke wako manake hata yeye ile stamina uliyomkuta nayo enzi za ujana hana tena.
 
Khaaaa ndo mana nakwambia umezeeka
bado kijana mimi usinizeeshe haraka kiivyo kwani kuomba picha ni kosa! hata hivyo ni uamuzi wake kuweka ama kutoeka.. mbona kuna mdau humu alishaga weka za korodani!! kila mtu nauchaguzi wake
 
Kama hewa bado inatoka hujapona vizuri kwa ndani,ulishonwa vibaya,PIA acha kabisa kuinama na Kazi ngumu,kufua fua umekaa huku umebana miguu,me walinichana kuongeza njia episiotomy si mchezo,nilitulia one year nikapona fresh pakarudi normal.
Yani ulikaa mwaka mzima bila kufanya sex?
 
Mkuu sasa nifanyeje
Mie sijui bibie hayo mavitu,sijui manzi wangu nae amekuwa hivyo ametoka kujifungus wiki iliyopita kwa kuongozewa njia! Sasa kama inatakiwa akae mwaka moja hapo ni lazima nitafute mchepuko masna mie siwezi kukaa mwaka mzims bila sex
 
ni kama kichekesho, ila pole naamini wataalamu watakuja na majibu sahihi.....
 
Kuchepuka kwake has absolutely nothing to do na maumbile yako. Acha kujishusha confidence. Wewe ni mrembo, na umeleta uhai duniani. Jivunie kwa hilo, jiamini, na jikubali manake na umri unasogea. Fanya kegel kwa ajili yako (inadaiwa unafurahia tendo la ndoa zaidi kwa kuwa na misuli ya uke imara). Kegel itakusaidia pia kuweza kuzuia mkojo wakati uzee unapogonga hodi.

Usijiadhibu kwa kuchepuka kwake. Na wala katika maugomvi yenu usiongelee uke wako manake hata yeye ile stamina uliyomkuta nayo enzi za ujana hana tena.
Aaaah Juu ya stamina umejuaje wewee?? Kumbuka ng'ombe huwa hazeeki mainl.... ila kiukweli kuchepuka ni tabia ya mtu na si vinginevyo
 
Hehehe endelea kujifariji baba. Wewe unadhani kwa nini Zarrina anamganda Diamond? Graph ya mwanamke na mwanaume huwa zinapishana essentially. The earlier you accept the better, lol. Tunawasitiri sana.
Aaaah Juu ya stamina umejuaje wewee?? Kumbuka ng'ombe huwa hazeeki mainl.... ila kiukweli kuchepuka ni tabia ya mtu na si vinginevyo
 
Ili kufahamu kama umerudi sawa,angalia muda wa shemeji yetu anaotumia barabarani kabla ya kufika huko aendako.Kama anatumia muda mfupi ujue umeshakaa sawa.Kama anatumia muda mrefu barabarani basi fahamu hujakaa sawa.Barabara nyembamba=Muda mfupi njiani na Barabara pana=muda mrefu njiani.Nadhani umenielewa.
 
Back
Top Bottom