Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu.
Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi, TANESCO nao hawakuachi nyuma, Umeme unakatika.
Kama kuna mgao kwa nini msitoke official statement na Ratiba kamili ya Umeme ili watu tujipange kwa ratiba. Ratiba zenyewe za umeme hazieleweki alafu mnakata siku za kazi, mnategemea tule wapi au mpaka tuwe majambazi.