Dogo unajua wanasiasa wewe au unawafikia? Au kwa kauli yako unamaanisha tuwape muda, we unahisi tuwape muda kiasi ganiUko na ulozi sehem wew sio bure teuzi zmefanywa lin na unahtaj maendleo ln au unazan ile sekta n kama jiko la gesi uklshika hapo hapo wafanya maamuz? Kichwa kibovu kwer wew
Kazi ya katiba ni dira ya nchi, muongozo wa nchi. Hiyo hiyo katiba ndio inaweza kuwawajibisha viongozi au watu wanaotaka kurudisha taifa nyuma kwa maslahi yao wenyewe.Ndio mkome, hata mkibadilisha katiba matatizo ya hii nchi yatabaki pale pale
View attachment 2761513
Sekta ilkua na hitilafi kibao mpen mda afanye marekebsho mzee sio kama uongoz wa shule huu kaka kwamba nkuenda stoo kua mchele kilo ziongezeke msosi wa jion hio n sekta kubwa na pana kuliko unavozanDogo unajua wanasiasa wewe au unawafikia? Au kwa kauli yako unamaanisha tuwape muda, we unahisi tuwape muda kiasi gani
Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu.
Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi, TANESCO nao hawakuachi nyuma, Umeme unakatika.
Kama kuna mgao kwa nini msitoke official statement na Ratiba kamili ya Umeme ili watu tujipange kwa ratiba. Ratiba zenyewe za umeme hazieleweki alafu mnakata siku za kazi, mnategemea tule wapi au mpaka tuwe majambazi.
Jah blessSi tuko hapa... Tutaona
Unakatwa maku weweUko na ulozi sehem wew sio bure teuzi zmefanywa lin na unahtaj maendleo ln au unazan ile sekta n kama jiko la gesi uklshika hapo hapo wafanya maamuz? Kichwa kibovu kwer wew
Upo na avatar ya legend then hueshimu viungo vya mwanamke punguza hasira shoga wewUnakatwa maku wewe
Unazingua watu wanategemea umeme ili mishe zisonge, wewe unaleta siasa kama za tanescoUpo na avatar ya legend then hueshimu viungo vya mwanamke punguza hasira shoga wew
Teuz hata mwezi haujafika mnalalamika kaka we ulskia wap? Unajua n mapungufu gani yalkuwepo tanesco?? Umeme n muhim m mwenyew nahtaj umeme kwa shuguli lkn huwez laumu mtu hana hata mwezi kwenye hio sekta et hafanyi kaz asa kaz gan kama kakuta mapungufu yakutosha aforce au nachojua sahz n wanafanya marekebsho ya ndan baadh ya maeneo wanabadlsha nguzo asa wew unalia lia vnn njoo mjn toka kjjn huko mlozi wew kama upo mbeya koma kbsa maaaaanyoko zako😂😂Unazingua watu wanategemea umeme ili mishe zisonge, wewe unaleta siasa kama za tanesco