Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Nimeingia leo kujiunga kifurushi cha internet cha usiku chenye walau GB 5 mara paaah! Hakipo. Alafu wanajifanya kutuletea kifurushi kisichoisha muda kisicho na category ya internet pekee. Nimewavua thamani.
Mitano Tena.
 
Yaani kweli Ng'ombe wa maskini hazai. Huu msemo nimuamini leo. Pamoja na kilio chote watu walicholia kuhusu vifurushi hiki ndicho tunachorudishiwa? Bado siamini macho yangu.
 
Yaani kweli Ng'ombe wa maskini hazai. Huu msemo nimuamini leo. Pamoja na kilio chote watu walicholia kuhusu vifurushi hiki ndicho tunachorudishiwa? Bado siamini macho yangu.
[emoji23][emoji23] vipi mkuu?
 
Sema mnazingua sana. Sasa unaleta kwenye jukwaa la Complaints kwani JamiiForums wanahusika nini na hiyo mitandao yenu?

Hivi watanzania tuna tatizo gani? Ujinga tu.
Maxence Melo Moderator Cookie toeni hii kitu hapa.

Samahani kwa lugha ngumu ila huwa nimechafukwaga daily japo nina senses.
 
Usihangaike mkuu. Hata hivyo hili ndilo jukwaa stahiki. Kama nipo jukwaa silo wewe sio kazi yako, mods watahamisha wanajua wajibu wao.
 
Habari wakubwa nakumbuka Waziri wa Mawasiliano alisema kuanzia tarehe 1 April itakuwa ukinunua kifurushi hakuna kuisha muda wake mpaka ukimalize lakini bado mambo yapo vile vile ni Kauli yake imepuuzwa au? Ndio siasa zenyewe
Screenshot_20210401-022920.jpg
 
Ninachokiona kwa halotel ni kupanda kwa bei za vifurushi kinyume na maelezo ya waziri ambae alituambia bei za vifurushi zitashuka kuazia trh 1 mwezi 4.

Binafsi Sijaona Faida Ya Serikali Kukutana Na Makapuni Ya Simu maana Baada Ya Gharama kushuka ila Imekua ni Kinyume Chake Kwa Mteja.
 
Back
Top Bottom