Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

nimejiunga kwa kutumia halotel app kifuruch kile cha night kipo chini kabisa
Kwangu kifurush cha mwisho n hcho kwe ye upande wa internet,kwako hcho kifurish cha night kipo wap mkuu kwenye hyo app?
Screenshot_20210406-020738_My%20Halotel.jpg
 
Aisee. Nikajua ni mie binafsi.
Mkuu hii usiku pack kwa mitandao yote wamegoma kurudisha. Ila ttcl kipo lakini mtandao unashindwa kabisa kuconnect internet yaani mtandao uko chali mlalo wa kifo cha mende
 
Vp kuhusu royal bando gb 7 zile zikiisha bando unaweza kuingia mtandaoni?
 
Back
Top Bottom