Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Dah tunaanza kumkumbuka hayati. Huyu mama anajua YouTube inavyokula bundle kweli?
Hizi ni athari za maamuzi ya watendaji wa Hayati. Uamuzi huu ulichukuliwa muda mrefu kabla mama hajaingia madarakani.
 
Line yangu ya airtel,nakula maishah
Screenshot_20210401-185236.jpg
 
Line yangu ya airtel,nakula maishahView attachment 1740570
Mimi natumia voda nimezoea kujiunga GB 1 shil 3000 kwa wiki.
Sijui kwanini watu wanalalamika.
Hao halotel hawangeweza kupewa nafasi ya kushusha bei daima.
Nadhani wanapewa ruhusa pale mwanzo wakati kampuni haijajulikana ili wapate wateja baadae wanarudi kwenye rate sawa na wenzao.
 
hongera sana mkuu
 
Vodacom Tanzania wameua brand hata freebasic hutumii kweli
 
Back
Top Bottom