kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
TUSILAUMU MAKAMPUNI KUPANDISHA MB KWANI WANAFATA MWONGOZO MPYA SERIKALI TOKEA MARCH 8[emoji116]🏻
March 8, 2021
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ndugu Ndungulile akizungumza katika kipindi cha Clouds 360 amesema, nanukuu:"Bei elekezi ya Data itaanzia Shs 2-9 kwa MB 1 kuanzia April 2"
Hii inamaanisha nini? Maana yake ni kwamba:
9TSH=1MB
XTSH=1000MB
Ukitafuta thamani ya X hapo juu utagundua kuwa kampuni za simu zimeruhusiwa kucharge hadi TSH 9000 kwa 1GB!
Waziri aliahidi kushughulikia suala la vifurushi vya internet kuwa juu lakini ambacho wengi walikuwa hawajui ni kwamba waziri alikuwa anaenda kupandisha zaidi gharama za vifurushi.
Piga hesabu:-
Gb 1=1000 mb
Bei elekezi ya serikali ya kuuza mb ni 1mb iuzwe shilingi 9
Maana yake gb1 yenye mb 1000 itauzwa 9000tsh