Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

bora wangefanya yote kuliko kuondoa kabisa bando la usiku.
bora halotel warudishe bando la usiku au kutawa hakuna pakutokea.

serikali hiki kitendo mlichofanaya sio kizuri hata kidogo.
ukiachana na changamoto za kodi, biashara na kukosa ajira watu walikuwa wanakimbilia mitandaoni kupunguza machungu.

sasa mmeshabana na huku mnawatesa wananchi wenu physically and mentally.
 
Yaani mwaka huu tutaisoma namba
 
Mwendazake ametuachia balaa hili, angekuwa hai nadhani angechekelea haswa kwa hivi vilio maana ndo ilikuwa Raha yake, huyu mama atupunguzie maumivu jamani
 
Haya mnayoita 'maboresho' yako upande wa watoa huduma tu, mimi mtumiaji sizingatiwi!

Inafahamika intaneti ni haki ya binadamu, kwanini inaminywa namna hii??
Tafadhari watetezi wa haki za binadamu, naomba muingilie kati hili suala.

Na nyie zantel sikutegemea mtakubaliana na huu unyonyaji na unyanyasaji kisaikolojia. Hizi bei zipo juu sana akheri ile ya awali.
20210401_173555.jpg
 
Back
Top Bottom