kitonger
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 1,164
- 1,533
freebasic ndo ipi wakuu?na ina tofauti gn na jf hiiLabda vishuke, wallah vikipanda Free Basic itakua kimbilio langu 24-7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
freebasic ndo ipi wakuu?na ina tofauti gn na jf hiiLabda vishuke, wallah vikipanda Free Basic itakua kimbilio langu 24-7.
Halafu wameondoa usiku bando....dahHalotel wametufanyia uhuni gani tena mzee, 3000 GB 1.3 kwa 3000 wiki 🙉 1.7GB wamezipunguza.
1000 MB 420 wiki,,,, 580 GB zimepunguzwa
Halafu wameondoa usiku bando....dah
Dr Faustine Ndugulile alituambia kwamba bei zitapungua ila kwa mujibu wa wadau hapa inaonekana bei ndio zimepanda maradufu.
Zilongwa mbali zitendwa mbali.
na mimi najuta hapa ningeunga 10k 10GB cha mwezi jana. leo 10k 4GB eeeh nachokaa
Yani kwenye hili halotel ndio wameniweza...sijui ntaambia nn watuWale wa mega bundle ya halopesa moto umewakaView attachment 1740081
Yaani mwaka huu tutaisoma nambabora wangefanya yote kuliko kuondoa kabisa bando la usiku.
bora halotel warudishe bando la usiku au kutawa hakuna pakutokea.
serikali hiki kitendo mlichofanaya sio kizuri hata kidogo.
ukiachana na changamoto za kodi, biashara na kukosa ajira watu walikuwa wanakimbilia mitandaoni kupunguza machungu.
sasa mmeshabana na huku mnawatesa wananchi wenu physically and mentally.
Hamna kitu huyo siku akitumbiwa huyu jamaa tafrah sana yupo kwa masirah yake wana wajumbe wa kigambon bora mngetuletea mpoki au bashiteDr Faustine Ndugulile Njoo useme neno hapa
Yaani ndo keshakaa nao hapo ndo maana kampuni zote zimeanza kutoa viwango vipya!Afanye kukaa nao mapema
Kama vile namuona anavyo ona haya kwa madudu yakeDr Faustine Ndugulile Njoo useme neno hapa
Kwa vilio alivyo tupatiayaani nahisi anachekelea