Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Leo ni siku ya wajinga kwahiyo Vodacom watuache kwanza
 
Kila nikiandika nachokusudia kuandika najikuta nasikia sauti ikiniambia ''KOMA NA MDOMO WAKO, BORA UKAE KIMYA''
Nami nanyamaza tu, niwe mtazamaji.
 
Kila nikiandika nachokusudia kuandika najikuta nasikia sauti ikiniambia ''KOMA NA MDOMO WAKO, BORA UKAE KIMYA''
Nami nanyamaza tu, niwe mtazamaji.
Kaa kimya tu mkuu.
Au weka hata kiemoji
 
Ni kweli vifurushi vimebadirika hasa halotel MEGA bando tulikuwa tunapata kwa Tsh 1000 GB 1 Na dk halotel-halotel lakini sahivi unapata Tsh 1000 MBs 450 dakika 15 (mitandao yote), kile kifurushi cha usiku wa saa sita wametoa kama cha Tsh 500 GB 1, Tsh 1500 GB 5 havipo
Hivyo virushi viwili cha 1000 kwa wiki na cha usiku ndio vilifanya niwe natumia halotel,sasa hivi sioni sababu ya kuendelea kutumia halotel.
 
Hii yote ni hawa TCRA (if it ain't broken why try to Fix it) ?

Bei elekezi bei elekezi...., wanashindwa nini kutengeneza kampuni yao (TTCL) na kushusha bundles tuone kama wengine hawatashusha..., kazi yao kuelekeza tu na sio kujaribu kufanya...

Tunajifanya soko huria wakati hawa jamaa ndio sometimes wanafanya bei ziende juu sababu ya makato yao..., Bure Kabisa hawa jamaa inabidi kila mwaka tuwe tunawachunguza wameleta tija gani kwa taifa kwa mwaka
 
Back
Top Bottom