Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

Halotel akusomeki uko yani ni kilio tuuu sasa sijui niludi Vodacom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji848]
mkuu yani bongo nyoso nilikua mteja wakufa mtu Sasa leo ili nibidi niikumbuke voda na kuanza kutafutiza yata kwenye ya kwangu tu.
 
Labda wanataka walipe wale wa Bunge Naibu wa Rais aliosema hawajalipwa.

Ndio shida ya roho za kimaskini. Kodi kwa mfano ya magari ni unyama, uaji na dhuluma tupu. Serikali inayo pora watu wake fedha. Kumbe vitu kama gari/ usafiri na mitandao ni baadhi ya nyezo muhimu kuharakisha maendeleo.
 
Back
Top Bottom