Mitano Tena.Nimeingia leo kujiunga kifurushi cha internet cha usiku chenye walau GB 5 mara paaah! Hakipo. Alafu wanajifanya kutuletea kifurushi kisichoisha muda kisicho na category ya internet pekee. Nimewavua thamani.
Hatari sanaMitano Tena.
Nafikiria kustaafu matumizi za simu sasa maana tuendapo pagumuWatumiaji wa huduma za simu na internet tumekuwa kama samaki tunaolia ndani ya maji.
tuwekee hapa pleaseYaani kweli Ng'ombe wa maskini hazai. Huu msemo nimuamini leo. Pamoja na kilio chote watu walicholia kuhusu vifurushi hiki ndicho tunachorudishiwa? Bado siamini macho yangu.
[emoji23][emoji23] vipi mkuu?Yaani kweli Ng'ombe wa maskini hazai. Huu msemo nimuamini leo. Pamoja na kilio chote watu walicholia kuhusu vifurushi hiki ndicho tunachorudishiwa? Bado siamini macho yangu.
Mambo si shwari[emoji23][emoji23] vipi mkuu?
πππZantel ilikuwa kimbilio letu kifurushi cha BAO toka buku 1GB hadi buku 400MB yaaani natamani kuifungia kabatini smart phone
Ndugulile m5 tena[emoji1787][emoji1787]Mambo si shwari
Usihangaike mkuu. Hata hivyo hili ndilo jukwaa stahiki. Kama nipo jukwaa silo wewe sio kazi yako, mods watahamisha wanajua wajibu wao.Sema mnazingua sana. Sasa unaleta kwenye jukwaa la Complaints kwani JamiiForums wanahusika nini na hiyo mitandao yenu?
Hivi watanzania tuna tatizo gani? Ujinga tu.
Maxence Melo Moderator Cookie toeni hii kitu hapa.
Samahani kwa lugha ngumu ila huwa nimechafukwaga daily japo nina senses.
Sawa mkulukumwao.Usihangaike mkuu. Hata hivyo hili ndilo jukwaa stahiki