Kevzy
JF-Expert Member
- May 23, 2026
- 976
- 1,712
Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya
Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya
Bora zaidi huduma ya Afya ndio iwe bure na elimu ndio tulipie, Kwa sababu elimu imetangazwa bure ila michango haiishi Kwa vijana wetu kila kukicha ukipiga mahesabu ni sawa tu tunalipia elimu
Waweke mabadiliko huduma ya Afya bure na tuone watatokea wap? Kuna anayenielewa hapo nyumba nyeupe na jumba kubwa Domu!!! Jadilini hili wakuu