Mwezi wa juzi nilikuwa naangalia taarifa ya habari CRDB wamejitolea kujenga madarasa kadhaa shule iliyopo kijiji fulani kwani? Shule ni Ina majengo ya kizamani sana na yangeweza kuwaamgukia wanafunziUmeleta hoja nzuri. Hii elimu bure imeshakuwa kama mtego wa panya, kila mtu anajua haifanyi kazi ipasavyo kwa sababu ya mazingira na uhaba wa vifaa, ndio maana michango haiishi huko mashuleni.
Sasa kwa nini tusibadilishe gia angani? Weka afya iwe bure, kadi ya NIDA mwananchi iwe ni bima yake ya uhakika popote anapoenda. Mtu akijua afya yake ipo secured, hata akilipia ada ya shule analipa kiroho safi kwa sababu mtaji wa kwanza wa binadamu ni afya bora.
Hawa viongozi wetu wanaona kila kitu, ila kuna kitu kinaitwa bureaucracy yaani urasimu na uzembe wa kiutawala. Inasikitisha sana kuona sekta binafsi ina kasi ya kuona matatizo kuliko serikali yenye vyombo vyote vya usalama na ukaguzi!Mwezi wa juzi nilikuwa naangalia taarifa ya habari CRDB wamejitolea kujenga madarasa kadhaa shule iliyopo kijiji fulani kwani? Shule ni Ina majengo ya kizamani sana na yangeweza kuwaamgukia wanafunzi
Nikawa najiuliza hii kweli elimu bure, na sio bure elimu na ni kwann? Mpaka taasisi inaona majengo ya shule hayapo sawa ila serikali hawaoni Kuna Nini? Huko serikalini au ndio serikali haina macho
Wanatakiwa wajitafakari, bila ya hivyo vitu vitaharibika zaidiHawa viongozi wetu wanaona kila kitu, ila kuna kitu kinaitwa bureaucracy yaani urasimu na uzembe wa kiutawala. Inasikitisha sana kuona sekta binafsi ina kasi ya kuona matatizo kuliko serekali yenye vyombo vyote vya usalama na ukaguzi!
na kweli maana watu wengi wanafariki kwa kusosa pesa ya matibabu wangeliona hilo ingefaa sana maana hii elimu bure ni kikwazo tuShukrani sana, waifanyie kazi hii
Kweli Mkuu, mgonjwa anaumwa mahututi anaruhusiwa hospital kisa tu Hana pesa ya matibabu akirudi nyumbani haipiti wiki anafarikina kweli maana watu wengi wanafariki kwa kusosa pesa ya matibabu wangeliona hilo ingefaa sana maana hii elimu bure ni kikwazo tu
Fact maana kana unahela ya kugharamia matibabu hadi india utafikaKweli Mkuu, mgonjwa anaumwa mahututi anaruhusiwa hospital kisa tu Hana pesa ya matibabu akirudi nyumbani haipiti wiki anafariki
Waswahili tunajipa moyo kuwa madoctor walijua tu kama atafariki ndio maana walituruhusu turudi naye nyumbani , lakini sio kweli waliona hauna pesa za gharama za matibabu wakakuruhusu ukafe