Sasa mtaani mnajadili huku mnaonana, wewe hujasikia watu wanakimbiana mnapanga kukutana.pic ulioweka kichwani sio kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]Wa mtaani so ndio sisi tuko jf.
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.
*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.
*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.
*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.
*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.
*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.
*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.
*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.
*Tabia sio muhimu tutarekebishana.
Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.
A
Man
From
Another
Galaxy.
Unaweza kumuumba wa kwako mwenyewe mkuu ili atosheleze sifa zako*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.
*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.
*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.
*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.
*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.
*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.
*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.
*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.
*Tabia sio muhimu tutarekebishana.
Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.
A
Man
From
Another
Galaxy.
🤣🤣🤣 mm n Mr Big more than 1.5 mHuwa tukiwafunga tai au kifungo cha juu tunapanda kwenye stool au kitanda kuwafikia[emoji56][emoji56].
Short chasis inaendana na Mr big mwanaume anaheight na weight za kutosha.
Hiyo combination balaa
mama wawili
Hapana mkuu nina mtu.Mrahisishie kazi mtoa mada au adi aje na majibu ya vipimo vya akili [emoji23][emoji23]
Mkuu una akili sana.Sifa zote hizo ni wa kutongoza tuu nilidhani wa kulala nae!
Sometime tongoza yeyote ili kunoa mistari ila wa kulala nae ndio awe na sifa hizo
Alexander
Kwa huu muandiko unawapata wapi watoto wakali kama hao?hausigel
Wapo mkuu hebu Siku moja kajitege mlimani city uwaone.Unaweza kumuumba wa kwako mwenyewe mkuu ili atosheleze sifa zako
Luckman1
🙊🙊 kama mfupa umemshinda fisi Mimi nitauweza!Kuna jinamizi la talaka (demu la Kichagga) huku kwetu, lina sifa uzitajazo hapo juu ila kaoza meno, hana cheko nzuri pia. Kama utamuhitaji ni PM nitakupa contacts zake.
Pole kwa kukosa sifa za kutukuka!Muumbe wako hivyo upendavyo
Sasa mtaani mnajadili huku mnaonana, wewe hujasikia watu wanakimbiana mnapanga kukutana.pic ulioweka kichwani sio kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂 Hao labda vijana wa fesibuku ndo wanatabia za kuji-edit na ma-filters.Sasa mtaani mnajadili huku mnaonana, wewe hujasikia watu wanakimbiana mnapanga kukutana.pic ulioweka kichwani sio kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huku wanakumbiana sana[emoji23][emoji23] Hao labda vijana wa fesibuku ndo wanatabia za kuji-edit na ma-filters.
Bila shaka na wewe ni muhanga,maana huwezi jua kunguni wa Miranda usichokilalia.
Si wana andika humu, mie sina muda huo wakuanza kutafutana salamu zinaushia hapa hapa sinaga muda huku niliko mpaka kufika mjini lazima nipande bodaboda masaa 5 sasa si nitavunjika kiuno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka na wewe ni muhanga,maana huwezi jua kunguni wa Miranda usichokilalia.
Hapana mkuu nina mtu.
mama wawili
Sawa!huku niliko mpaka kufika mjini lazima nipande bodaboda masaa 5 sasa si nitavunjika kiuno
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.
*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.
*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.
*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.
*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.
*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.
*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.
*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.
*Tabia sio muhimu tutarekebishana.
Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.
Moderator inakuaje mmeleta huu Uzi love connect Mimi sitafuti mchumba urudisheni MMU.
A
Man
From
Another
Galaxy.