Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application

*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.

*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.

*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.

*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.

*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.

*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.

*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.

*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.

*Tabia sio muhimu tutarekebishana.

Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.

A
Man
From
Another
Galaxy.

Kuna jinamizi la talaka (demu la Kichagga) huku kwetu, lina sifa uzitajazo hapo juu ila kaoza meno, hana cheko nzuri pia. Kama utamuhitaji ni PM nitakupa contacts zake.
 
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.

*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.

*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.

*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.

*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.

*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.

*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.

*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.

*Tabia sio muhimu tutarekebishana.

Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.

A
Man
From
Another
Galaxy.
Unaweza kumuumba wa kwako mwenyewe mkuu ili atosheleze sifa zako

Luckman1
 
Huwa tukiwafunga tai au kifungo cha juu tunapanda kwenye stool au kitanda kuwafikia[emoji56][emoji56].
Short chasis inaendana na Mr big mwanaume anaheight na weight za kutosha.
Hiyo combination balaa

mama wawili
🤣🤣🤣 mm n Mr Big more than 1.5 m
 
Sasa mtaani mnajadili huku mnaonana, wewe hujasikia watu wanakimbiana mnapanga kukutana.pic ulioweka kichwani sio kabisa[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂 Hao labda vijana wa fesibuku ndo wanatabia za kuji-edit na ma-filters.
 
No filter, no make up
IMG-20200526-WA0000.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka na wewe ni muhanga,maana huwezi jua kunguni wa Miranda usichokilalia.
Si wana andika humu, mie sina muda huo wakuanza kutafutana salamu zinaushia hapa hapa sinaga muda huku niliko mpaka kufika mjini lazima nipande bodaboda masaa 5 sasa si nitavunjika kiuno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ss wafupi tuolewe na nan?
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.

*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.

*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.

*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.

*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.

*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.

*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.

*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.

*Tabia sio muhimu tutarekebishana.

Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.

Moderator inakuaje mmeleta huu Uzi love connect Mimi sitafuti mchumba urudisheni MMU.
A
Man
From
Another
Galaxy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom