*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.
*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.
*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.
*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.
*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.
*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.
*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.
*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.
*Tabia sio muhimu tutarekebishana.
Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.
Moderator inakuaje mmeleta huu Uzi love connect Mimi sitafuti mchumba urudisheni MMU.
A
Man
From
Another
Galaxy.