Mabaharia! Umeona manzi umeizimia! Kimwonekano unaona kuimudu ni mziki mnene! Kuweka heshima ya baharia unafanyaje?

Mfuatilie anafanya kazi wapi na kamlie mingo huko huko. Niliwahi kupata namba ya mtu kwa style hiyo and the rest is history.
By the way mimi nafanya kazi za masoko, naweza kumchezesha mtu akanipa namba hata za boss aliyesema usimpe mtu namba zangu seuze na demu.
 
Huyo unatakiwa ufahamu anapoishi na harakati zake,vitu anavyopenda,marafiki zake wa kike uwe nao jirani,wa follow marafiki zake unaona anawajibu comments kwa fb alaf unaweza fanya mpango wa namba yake ya simu ili uweze kumpanga vizuri aingie kwenye line yako..
Lakin pesa inabid ziwepo ili kurahisisha mambo
 
Kama hajibu dm zangu ntampataje sasa! Personal details zake kaziweka private!
 
Mzamishe kwny kina kirefu cha bahari lazima akulilie ..wewe si baharia bwana...
 
Mpe mipango ya mda mrefu
Hao ukiwataka usikurupuke, mpe mipango ya mda mrefu akijaa kabla hujaanza kukolea kwenye Penzi m dump
Ntatoa notice

Britanicca
 
Chapa tembea.

Shida sio investment cost, shida Iko kwenye kumaintain running cost ili upate good return.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…