Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Naam 😎😂😂😂ivi wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam 😎😂😂😂ivi wewe
ushalewa sioNaam 😎
Em fungua pm kuna kitu nataka kukuambiaushalewa sio
kesho saa sita 😂Em fungua pm kuna kitu nataka kukuambia
Mfuatilie anafanya kazi wapi na kamlie mingo huko huko. Niliwahi kupata namba ya mtu kwa style hiyo and the rest is history.Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
Huyo unatakiwa ufahamu anapoishi na harakati zake,vitu anavyopenda,marafiki zake wa kike uwe nao jirani,wa follow marafiki zake unaona anawajibu comments kwa fb alaf unaweza fanya mpango wa namba yake ya simu ili uweze kumpanga vizuri aingie kwenye line yako..Kuna manzi fulani anaposti picha zake instagram na Facebook! Picha zake ziko public na mimi nimekuwa nikimfollow muda mrefu sana! Yeye hakuwahi kuaccept my request ya follow back! Nimemtumia private meseji hajibu! Status yake ni single na post za picha zake kwakweli anaonekana wife material! Naweza kufanya nini kuattract may attention angalau akaongea na mimi? Najua mabaharia walishawahi kukutana na changamoto hii wakapita! Mlifanyaje?
LetaaaAaaah? princess ariana 😂😂😂
Kama hajibu dm zangu ntampataje sasa! Personal details zake kaziweka private!Mfuatilie anafanya kazi wapi na kamlie mingo huko huko. Niliwahi kupata namba ya mtu kwa style hiyo and the rest is history.
By the way mimi nafanya kazi za masoko, naweza kumchezesha mtu akanipa namba hata za boss aliyesema usimpe mtu namba zangu seuze na demu.
Shida ni kumpata! 😂Mzamishe kwny kina kirefu cha bahari lazima akulilie ..wewe si baharia bwana...
Niko hapa 😊
Baby!!Niko hapa 😊
Huyo atakua ni Ivona nikupe namba yake?Shida ni kumpata! 😂
Umejuaje kama ni wife material kwa kuona picha tuu? Angalia isijekuwa unachanganya wife material na kumtamani sexually.Asante sana nitajaribu hii!
Tantee.! Shem lake 😍Karibu