Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Usiangalie wingi quantity pia angalia na u bora quality

Uzuri au waswahili mnaita pisi Kali unabidi kuendana na brain.

Maana dunia imeshatoka katika mwonekano wa MTU wa nje dunia ya Leo. Inaangalia potential na value.

So kuzaa na pisi Kali italeta maana hiyo Pisa kali inajitambua kichwani. Na Ina uchumi imara.
 
Kutokuwazalisha ni aina fulani ya udhaifu, kataa ukubali huo ndio ukweli; ndio maana wengine wanahonga nyumba n.k baada ya kuweka nembo(watoto).

Tofauti na hapo itakuwa ni stori tu, na watakudharau pale mtakapoachana.​
 
Ukifuatilia sana maisha ya duniani ni ubatili mtupu, muhimu tuache asili (nature) iamue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…