Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

Babu ni jux ndo hana kizazi🤣 warembo wote kashindwa kupachika hata
Isije kuwa zile stori za "Mji mzito" ni za kweli kwamba anashiriki ile michezo ya Vijana wa hovyo 🙌

Ila Mjukuu, suala la nani wa Kuzaa naye huwa linaamuliwa na Mwanamke mwenyewe

Imagine umri wangu huu wa Uzee, hivi Kuna Binti anaweza kunitegea mimba kweli?😜
 
Wapo wanaoweza kama una mijumba, mashamba mengi hlf watoto wawili kwanini usitegewe tugawane wote chochote kitu
Mimi nataka nimtegee mchumba wangu
 
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.

Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana na watoto niliozaa nao, kupasha kiporo ni muda wowote tu ule unavyojisikia, muhimu bajeti kwa muda ule uweze kuimudu tu.

Kinacho wachanganya zaidi ni swaga zangu, ucheshi, kutokuishi kizee, pamoja na kujali kwa vitu vidogo vidogo.

Kila siku nimekuwa ni mtu wa kupata mialiko kutoka kwa hawa pisi kali zangu, sema tatizo ni bajeti nashindwa kuwafikia wote kwa wakati, kwa sababu wengine wako mikoa tofauti.

Kweli najiona kidume kuwa na hizi pisi kali zilizonizawadia watoto.​
Zingine zikibeba mimba zinakongorokaa
 
Wapo wanaoweza kama una mijumba, mashamba mengi hlf watoto wawili kwanini usitegewe tugawane wote chochote kitu
Mimi nataka nimtegee mchumba wangu
Nahisi hata nguvu zenyewe Sina za kuweza kushughulika ili hao watoto wenyewe waje

Maana umri huu kulenga shabaha huwa ni kazi sana Kwa sisi Wazee 😜

Huyo Mai wako hakikisha unamuwahi mapema kumbebea kabla hajafika umri wangu,maana zoezi huwa gumu sana kutokana na Uzee 😜 🤗
 
Babu itabidi nifanye chap mchumba ashaanza kutoka mvi, hamjapishana sana umri
 
Back
Top Bottom