Guy of gisbon
JF-Expert Member
- Apr 22, 2024
- 564
- 803
Nafikiri hilo si Jambo la kujivunia maana umewatengenezea watoto wako mazingira ya kukua bila malezi ya baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malezi ni muhimu hasa katika upatikanaji wa vitu vya msingiBrother lea watoto sasa sio kufurahia tu mambo kama hayo, walee katika maadili mazuri,
Kama unalea wanao haina kwereMalezi ni muhimu hasa katika upatikanaji wa vitu vya msingi
Na wengi wanaokuwa bila malezi ya baba huwa wana vipaji maalumu; muhimu kuwa hudumia pale panapo wezekanaNafikiri hilo si Jambo la kujivunia maana umewatengenezea watoto wako mazingira ya kukua bila malezi ya baba
Wengine wanafeli kwenye swaga na kutanguliza hela mbele; hela sio kila kitu.We usijisifu ukidume, washukuru walikuhurumia tu, watu wana mkwanja na pisi kali zinatoa mimba kimya kimya hazisemi kwa jamaa kama zina mimba kwa kuhofia jamaa anaweza akataka izae.
😀😀😀 hii haikwepeki, ndivyo maisha yalivyoOngera kwa kuzaa pisi kali ngoja mabahari waje wakuendelezee uzao wa wajukuu pisi kali..
Kuna MTU aliwahi ku kuleta Uzi humu unaohusu Alfa male and better male. Ukiusoma unaweza kuona umuhimu wa mtoto kupata malezi ya Baba na mama na athali za mtoto kupata malezi ya upande mmoja. Sometimes kukosa malezi ya Baba na mama kunaweza kumuathili mtoto kisaikolojiaNa wengi wanaokuwa bila malezi ya baba huwa wana vipaji maalumu; muhimu kuwa hudumia pale panapo wezekana
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆 EwwwwwwKuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.
Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana na watoto niliozaa nao, kupasha kiporo ni muda wowote tu ule unavyojisikia, muhimu bajeti kwa muda ule uweze kuimudu tu.
Kinacho wachanganya zaidi ni swaga zangu, ucheshi, kutokuishi kizee, pamoja na kujali kwa vitu vidogo vidogo.
Kila siku nimekuwa ni mtu wa kupata mialiko kutoka kwa hawa pisi kali zangu, sema tatizo ni bajeti nashindwa kuwafikia wote kwa wakati, kwa sababu wengine wako mikoa tofauti.
Kweli najiona kidume kuwa na hizi pisi kali zilizonizawadia watoto.
Aaah hapana kwakweli, kuzaa namna hiyo hapana.🙆🙆🙆Daaah Kuna watu Wana lifestyles za kipekee!au ndio Ile Raha ya kuitwa Dady ulivyosema juzi😁?
hahahahah,hao pisikali wanabamba zaid kwa show off za town ila pia vizinga vyao si haba tofaut na hawa ambao mimi nawapambania!Ila kulia wali wa maharage kwenye sahani ya udongo ni tofauti na kula chakula hicho hicho kwenye sahani ya plastiki
PEDOPHILEKuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.
Unajua balaa la Mtoto wewe!Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.
Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana na watoto niliozaa nao, kupasha kiporo ni muda wowote tu ule unavyojisikia, muhimu bajeti kwa muda ule uweze kuimudu tu.
Kinacho wachanganya zaidi ni swaga zangu, ucheshi, kutokuishi kizee, pamoja na kujali kwa vitu vidogo vidogo.
Kila siku nimekuwa ni mtu wa kupata mialiko kutoka kwa hawa pisi kali zangu, sema tatizo ni bajeti nashindwa kuwafikia wote kwa wakati, kwa sababu wengine wako mikoa tofauti.
Kweli najiona kidume kuwa na hizi pisi kali zilizonizawadia watoto.
Hahaha..........huo ni utani wa Babu Kwa Mjukuu tu....hata hivyo Kwa umri huu hata nikipewa unadhani nitaweza kula basi 😜🤗Babu mbona kama unaiomba kijanja?
Ndiyo maana ni rahisi Mwanaume mwenye nafuu ya maisha kusingiziwa mimba/kuwa Baba Kijacho kuliko Wanaume wanaojitafutaBabu umeongea point sana.
Sawa babu, namuwahi leoleo🤸Bora umuwahi mapema Mjukuu, kabla wengine hawajamuwahi 😅
Wanasema scramble for and partitions of Wazee 😜
Umetuhakikishia pia watoto wako ni pisi kali. Ngoja niwasikilizie hata kwa chumvi nile.Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri.